ChristopherPaul15
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 520
- 662
Wewe mpira unaangaliaga kweli yaani unasema Salah Sasa hivi wa moto nafikiri humjui Salah miaka 5 nyuma mtu umri ukienda kwenye mpira hata iweje hawezi kulazimisha kiufupi asepe wachezaji wapo wengi tu wakusajiliwaKwani anacheza pekeyake?
Timu ndiyo inayomuangusha Salah
Akipata combo nzuri ya wachezaji wa aina yake jamaa ni moto sana
Mnataka aondoke halafu nani acheze?
Jones,jota sijui Diaz wote wanashinda wodini.