Everton wanavyoshangilia utadhani wamebeba kombe kumbe hawaendi kokote...kwli mchawi wako hatoki mbali aisee🤣🤣
Si ilikuwa derby...

Mashabiki kindakindaki wa Liverpool wanasema bora wakose ubingwa ila sio kufungwa na Everton...


Umeona sasa wanavyoshangilia😂😂
 
Derby na iheshimiwe.

Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
Screenshot_20240425_002409.JPG

Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
Screenshot_20240425_002446.JPG
 
Back
Top Bottom