Wakicheza mchezo wao wa 34 uwanjani goodison park, (merseyside derby)wekundu hao wamekubali kichapo cha mbili mtungi mbele ya wapinzani wao wa jiji la liverpool everton.

Tuonane msimu ujao tena, msimu huu nyie na manu hamna tofauti

1713994447624.png
 
Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya karibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
 
Back
Top Bottom