URUGUARY VERSION OF JACKSON.
FB_IMG_17139888355199588.jpeg
 
Nadhani Captain Marvelous Arne anatofautiana Kiasi na KLOPP Kwenye Umiliki wa Mpira. Moja ya Changamoto za Msimu Huu kwa KLOPP imekuwa kufungua timu za Low Block.
KLOPP anakuwa na Ubora wake akicheza TRANSITION BASED Game, kuna namna Msimu huu Liverpool Imeadapt Mpira wa Tupasi pasi twa Hovyo kitu ambacho huezi kiona 🎅 a kw kina Mane, Bobby & Salah. Hawa ilikuwa One~two tukimbie.

ARNE
anapenda Inverted FB's kitu ambacho KLOPP ameleta kwa TAA ila hakijawa na Matunda kama wakati anawatumia kama Marauding FB's yeye na ROBBO kupiga Krosi. ARNE Inverted wanaongeza Idadi kwenye Build Up na Mara nyingi wanatengeneza Box. KLOPP Mara nyingi Holding wake alikuwa anashuka chini kama Option namba 1 ya Pasi toka kwa GK. FABBY Aliitendea haki hii sehem, Alcantara Klopp alihisi ni Upgrade ila ikawa tofauti.

Kama anakuja ARNE sitashangaa kuhusishwa haya Majinaa Geetruida, Hanco, Wieffer na Captain wake wa zamani Aulkmaar Teuuuun u.
Koopmeiners labda tuwai mapema sana Chelsea nao wamo.

Mapema tumalize maneno ili Edwards aanze kuchakata taarifa za ma scout kuhusu wachezaji wa kumpa bwana Slot.

YNWA
 
Back
Top Bottom