Kichwa changu kinaniambia Liverpool mtawin EPL next season. Usajili wa Nunez & Luis Diaz ni mkubwa mno.
Shida kubwa kwetu ni uwepo wa mancity. Ni kama ilivyokuwa kwa Atletico Madrid. Walikuwa na timu nzuri sana, ila uwepo wa barcelona ya kina messi na iniesta ndio ikawa kikwazo kwao. Lakini kudos kwao. Ndani ya miaka 10 wakapata laliga 2 na kucheza ucl mara mbili.
Hicyo hicyo kwetu sisi. City ndio tatizo kubwa kwetu. Kwa misimu mitatu au minne tumepambana nao kwa jasho na damu. Tumepata premier leafue 1 na wamechukua mara mbili kwa tofauti ya pointi moja. Na ndani ya msimu tunapata points 90+ afu unakosa ubingwa. Nadhani tutaendelea kuteseka mpaka Guandiola atakapoondoka pale city.
 
Sio kwamba Klopp anatutesa kung'ang`ania wachezaji badala waachie nafasi payroll ipungue ili waweze kusajili tena?

Pep hua hamng'ang'anini mchezaji endapo bei anayotaka inapatikana au hata kumwachia bure design ka Aguero, Silva, Toure, Kompany, Fernadhidho nk pamoja na umuhimu wao kikosini out put ilivyoshuka Pep hakua na kingine zaidi ya kuwaachie na kuleta wengine wanaoedana na kasi ya mfumo.. Pamoja na ubora wa Pep lakini tukumbaliane Manchester City ni timu inayojutuma sana uwanjani yaaani hua nadra sana uone wana break down au defence relapse sababu kuanzia mbele mpaka nyuma wana defend na kushambulia in tandem...

Klopp kukomaa na akina Henderson, Matip, Keita, Milner nk bila ku react mapema kunatugharimu sana pointi muhimu nwa hakuna namna Pep yupo mpaka 2025 tutakwenda nao hivyo hivyo...

YNWA
 
Back
Top Bottom