OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,065
Makuku yameliwa kichwa😂😂😂
Hii iliandikwaaaaaMunasajili mataputapu subiri msimu uanze tujue mbivu na mbichi
RaheeeeeeemNyie mmesajili nani?
RaheeeeeeemNyie mmesajili nani?
Maisha yanakwenda kasi sana.
Spongy boy?He will get better...
Loaded with potential, can play RB or CM.
YNWA
Mkuu vipi nyie mlo angalia nasikia nunez ni origi mpyaFitness test.
YNWA
🤓🤓🤓🤓Sijaangalia mechi ndugu yangu....Mkuu vipi nyie mlo angalia nasikia nunez ni origi mpya
Hahahahahaaaaa!Nunez ni origi wakizungu
Baada ya kucheza dk 30 ndo umejua hiloNunez ni origi wakizungu
Una matatizo sana weweNunez ni origi wakizungu
Shida kubwa kwetu ni uwepo wa mancity. Ni kama ilivyokuwa kwa Atletico Madrid. Walikuwa na timu nzuri sana, ila uwepo wa barcelona ya kina messi na iniesta ndio ikawa kikwazo kwao. Lakini kudos kwao. Ndani ya miaka 10 wakapata laliga 2 na kucheza ucl mara mbili.Kichwa changu kinaniambia Liverpool mtawin EPL next season. Usajili wa Nunez & Luis Diaz ni mkubwa mno.
Sio kwamba Klopp anatutesa kung'ang`ania wachezaji badala waachie nafasi payroll ipungue ili waweze kusajili tena?Shida kubwa kwetu ni uwepo wa mancity. Ni kama ilivyokuwa kwa Atletico Madrid. Walikuwa na timu nzuri sana, ila uwepo wa barcelona ya kina messi na iniesta ndio ikawa kikwazo kwao. Lakini kudos kwao. Ndani ya miaka 10 wakapata laliga 2 na kucheza ucl mara mbili.
Hicyo hicyo kwetu sisi. City ndio tatizo kubwa kwetu. Kwa misimu mitatu au minne tumepambana nao kwa jasho na damu. Tumepata premier leafue 1 na wamechukua mara mbili kwa tofauti ya pointi moja. Na ndani ya msimu tunapata points 90+ afu unakosa ubingwa. Nadhani tutaendelea kuteseka mpaka Guandiola atakapoondoka pale city.
Hivi Mshahara wake ni hela ngapi?Sijaangalia mechi ndugu yangu....
Haya mambo ya pre season yasikupe sana hofu tuwe na subira...
Nunez ndio kwanza ana siku 2 kikosini tumpe nafasi kwanza kabla ya kutoa judgement mapema hivi...
YNWA