Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

Kesi ndo inaanza sasa hiv na majaji wameshaingia

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mahakama inatakiwa itoe hukumu kwa kuzingatia ushahidi,hoja na weledi wa kutosha bila shinikizo toka upande wowote ule!!Huyu JK na safari zake,hiv si hata hao Marekani watamchoka sasa!!Kila la kheri Lema
 
Alute: kwa upande wa mwenzake Modest Akida the proof is error
 
Kesi tena? Sio rufani wala hukumu! Hii thread haina la maana tena, kila mtu anakuja na lake mwisho hatujui lipi ni lipi.

Sasa na mimi nakuja na langu; Kikao cha majaji sasa ndio kinaanza.
 
Lissu: Nimekuwa wakili tangu 2003, hivyo nina zaidi ya miaka mitano.
 
Aiseee nafatilia rufaa ya lema kwa karibu sana kupitia mtandao wa jamiifuram moja kwa moja kutoka rombo naishukuru sana jf
 
Majaji naona wanashauriana baada ya kusikiliza maelezo ya TL kuwa ana haki ya kusikilizwa kwenye mahakama hii tukufu
 
Back
Top Bottom