Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

mimi nina mwaka sasa sijaingia chit chat kaangalie vizuri maybe jamii inteligence

Well, hakijaharibika kitu Smile, you can still make it right, sinywi pombe sana, minimum nakunywa crate kama 3 za tusker tu so you can manage! sawa?
 
Last edited by a moderator:
Calm down


Mkuu POMPO
Siwezi kumuongelea Ritz wala Zomba; mimi nipo baridi tu wala hukumu ya Lema hainipandishi pressure; adrenalin level yangu ipo normal naendelea na mipangilio ya kimaisha; labda nikuulize kuna jipya gani la kunipandisha pressure? Mbona hukumu nyingi tu zimetolewa? Nyie ndio mnaopanda pressure mara muisifu mahakama inapotoa hukumu mnazotaka kuzisikia na hamuishi kuishutumu pale inapokwenda kinyume na matarajio yenu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Well, hakijaharibika kitu Smile, you can still make it right, sinywi pombe sana, minimum nakunywa crate kama 3 za tusker tu so you can manage! sawa?
khaaa ! wewe mlevi kabisa anyway hakuna shida si hela yako banaa mi mtazamaji tu...nakusindikiza na kuku
 
kuna tetesi kuwa uchaguz atown utarudiwa..na ndo maana CUF wameenda kujiandaa ili kupunguza kura za chadema dhidi ya ccm! Mfano kwa walie waislam wapenda demokrasia mtakuwa mmeskia katk baadh ya misikt ya maeneo ya arusha wanaamasisha waumini kuachana na chadema na kujiunga na cuf ama ccm

Cdm hatuna shida kabisa uchaguzi ukirudiwa!MARK MY WORD!,hata wafanyaje hawawezi kushinda iwe cuf o ccm,hata tukitumia hiyo minajiri ya dini stil cuf wala ccm hawapati kitu!naona watu wa a town hamjawajua vzr ila mnawackia
 
ndugu,

Pamoja na yote haya mwisho wa yote "tukutane baada ya hukumu tusherekee Pamoja, huku tukiinua M4C kama ishara ya kutuunganisha".

Pamoja saaaana!

Thanks Mkuu, Jf wanastahili pongezi, wametuunganisha tumekuwa kama watoto wa baba moja.
 
Back
Top Bottom