Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

leteni mambo wakubwa mi huku kapamisya kyela hakuna umeme jf ndo mkombozi wetu sisi walima mpunga tuiopo huku mashambani
 
Kwanini vurugu zimeongezeka wakati huu kukiwa na wabunge wengi wa chadema? Tunasubiri majibu ya Mnyika.
 
Ugenu wa wabunge bungeni hiyo Sio sababu ya wabunge kutokufahamu kanuni au wabunge kufanya vurugu! Tatizo ni kiti cha spika kua na itikadi na maslahi ya chama chake Na kukandamiza wapinzani kwa makusudi!
 
leteni mambo wakubwa mi huku kapamisya kyela hakuna umeme jf ndo mkombozi wetu sisi walima mpunga tuiopo huku mashambani

Update: Job anasema kinachofanyika bungeni ni usanii mtupu, na kwa, maoni yake ni kuwepo kwa kamera ndani ya bunge ndo maana wabunge wanafanya usanii... vielelezo ni kwamba katika kamati ndogondogo hawafanyi vurugu kwa vile kule hamna kamera.
 
Job; Nini kimetokea bungeni, kwa nini bunge limekuwa na vurugu kwa kipindi hiki... jibu, kuna wabunge wengi wapya ambao bado hawazijui, kanuni za bunge.

Hili Sio jibu yeye na kiti chake ndo tatizo!
 
Dah! Kuna mtu alileta
thread ya kumlalamikia huyu dada mapozi yake, nilijua ni chuki tu, leo
nimeelewa alikuwa anamanisha nini, maana dada full kufumba fumba macho
mbele ya TV, mara kafumbua nusu.

Ninakoma kumwangalia, kutoa sitoi, badala ya kufatilia mjadala mi
namwangalia yeye tu, after all siasa zipo tu.

we unaskiliza mjadala au unaangalia watu,toa upuuzi wako hapa.
 
ndugai anasema vurugu zinasababishwa na wabunge wageni na si wabunge wazoefu,mie nasema hawa wazee hawazifaham kanuni,
 
Mawasiliano ya tv yangu yanazingua na ninakosa mtiririko wa maada. Job Ndugai anafloo vizuri sana na Dogo Mnyika pia anajenga hoja vizuri sana. Najiuliza sana kwanini bungeni watu wanakuwa vichaa wakiwa bungeni ila huku mtaani? Nadhani ni bora ile camera ichomolewe tu wabunge wasivamiane ili kutengeneza majina.
 
Huyu ndugai ni kiazi kweli,hajui ni kwa nini kwenye kamati hakuna fujo lakini wakishaingia bungeni wanafanya fujo au ni sababu ya kamera?majibu anayapata kwa jembe.
kwenye kamati yenye wabunge wa ccm wengi utajua kwenye wbunge wasiojua tofauti ya serikali na bunge unategemea nini?
 
Update; Job anasema kinachofanyika bungeni ni usanii mtupu, na kwa, maoni yake ji kuwepo kwa kamera ndani ya bunge ndo maana wabunge wanafanya usanii... vielelezo ni kwamba katika kamati ndogondogo hawafanui vurugu kwa vile kule hamna kamera.

Hakuna Usanii Kama tatizo ni camera waweke huko kwenye kamati zao camera! Usanii Upo kwenye kiti tu! Na hii kamati ni Mara ngapi haitoi majibu ya wabunge? Kamati hizo ni Usanii mtupu! Hapa kwenye camera ndo tunataka usawa! Mnyika anajubu vema!
 
we unaskiliza mjadala au unaangalia watu,toa upuuzi wako hapa.

Hivi huwezi kuandika kitu/kushauri bila kutukana mkuu? Najaribu kuimajini unaishije ishije nyumbani na wife wako, itakuwa kila siku ni matusi.
 
Katika kipindi cha Tuongee asubuhi cha Star Tv kikibeba mada ya Vurugu bungeni, Naibu spika Job Ndugai amesema wabunge wa upinzani wanachokifanya ni usanii mbele ya kamera wawapo bungeni kwani majadiliano huanzia kwenye kamati ambako hukubaliana vuzuri!
Mnyika namwona anamtolea jicho meza moja!
 
Back
Top Bottom