mzee ni kada wa ccm
Lakini madaktari nao waache tamaa. Walikuwa na maombi yao 12 kwa serikali na katika hayo 7 yamekubaliwa, yaliyokataliwa wamepewa sababu za msingi kabisa hata mwanangu wa miaka 6 angeelewa. Kwanini wanakuwa kama watu wasioenda shule?. Wanataka kuipelekesha mputa serikali?, wakafie mbali wajinga wakubwa. Kazi watafukuzwa na wakija kuomba tena kazi napendekeza serikali iwape mshahara wa sh 50,000 kwa mwezi. Watu wenyewe masikini na mmesoma kwa shida, mmpata kazi mnataka kuleta zenu za kuleta hapa?. Sasa tuna import madaktari toka nje ya nchi na nyinyi mkalime vitunguu.