Live on Star Tv: Hatma ya mgomo wa madaktari

Tunaomba mtupe hints za mjadala huo maana wengine hatuna access na TV hapa.
 
Kuna mzee anaonekana gamba anaitwa Juma na anaizungumzia serikali kabisa na inafika kipindi anaongea kama polisi hivi au usalama wa taifa inafika kipindi anadai serikali na polisi hawahusiki na kipigo cha Olimboka
 
Dah!kuna mzee hapa laiti angekuwa mzee wangu dah!anasema Dr.Ulimboka amepigwa na majambazi...!na alpoenda Muhmbili akatibiwa kama mfalme wakati Madr walisema hawafanyi kazi!amefikia point anasema madaktari wamemsafilisha Ulimboka kwa hela za rushwa wanazochukua kwa wagonjwa!anasema wanatumiwa
 
Huyu mzee ni kada wa ccm kusema ukweli na element flani hivi
 
Wanadai kila daktari anataka milioni 17,900,000 kwa mwezi
 
Yaani huyu mzee mwisho wa siku watu watamtusi, maana anaongea kama vile yeye ndiyo serikali
 
Angalieni star tv, mjadala wa mgomo wa madaktari.
Kuna mzee anaitwa Juma anatetea serikali huyo..anakera sana.
Star TV mmemwita wa nini huyo mzandiki?..tumezoea kumouna akishiriki mijadala ya TBC huko ndio kunakomfaa.
Msiharibu kipindi chenu..muwe mnaalika watu makini.
 
Kipindi naona kinaangalia mshahara wala sio mgomo mzima mtangazaji hataki wazungumzie vitendea kazi
 
Nina kama dakika tano tokea ban yangu imeisha nashukuru mungu hili la ulimboka lilitokea nikiwa kifungoni kwasababu ningepata ban ya mwaka
 
Huyu mzee wa mwanza kawashika amesema mbona hawasemi juu ya vifaa? Juu ya uchunguzi iweje mtuhumiwa ajichunguze?
 
mzee ni kada wa ccm

tatizo lenu humu jf mnataka kila mtu awe sawa na mawazo yenu..huyo mzee anatoa mawazo yake sasa wewe kina kuuma nini.. Kazi mnayo jk ameshasema asiyetaka kufanya kazi serikalini kwa salary iliyopo aende private ambako atalipwa hiyo m3.5...... Fanyeni kazi ache siasa ninyi madaktari..
 
Lakini madaktari nao waache tamaa. Walikuwa na maombi yao 12 kwa serikali na katika hayo 7 yamekubaliwa, yaliyokataliwa wamepewa sababu za msingi kabisa hata mwanangu wa miaka 6 angeelewa. Kwanini wanakuwa kama watu wasioenda shule?. Wanataka kuipelekesha mputa serikali?, wakafie mbali wajinga wakubwa. Kazi watafukuzwa na wakija kuomba tena kazi napendekeza serikali iwape mshahara wa sh 50,000 kwa mwezi. Watu wenyewe masikini na mmesoma kwa shida, mmpata kazi mnataka kuleta zenu za kuleta hapa?. Sasa tuna import madaktari toka nje ya nchi na nyinyi mkalime vitunguu.
 
Sababu za msingi zipi mkuu??kwamba hatuwezi kununua vifaa vya kusaidia tiba kwa sababu ridhiwani bado anahitaji pesa ya kununua malori mengine ya kubeba mizigo?au kuongeza umiliki wake wa kampuni ya TanzaniteOne??au kwasababu mkuu ana haja ya kuongeza safari za nje ziwe mara mbili ya mwaka jana kwa kuwa "zimetusaidia sana"??!?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom