Live on Mlimani TV: Zitto Kabwe Vs Hamis Kigwangalla - Pushing forward the youth/Housing agenda!

Tuwape ushirikiano viongozi kama hawa, Zitto na Kigwangala, maana wanapigania maslahi ya watanzania wote, sio CHADEMA au CCM. Na kama tunataka kuwa challenge basi isiwe personal bali kwa hoja. Tanzania ni yetu sote....Tupambane kwa pamoja kuleta maendeleo ya kweli. Hongera sana Zitto na Kigwangala....we support you!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom