HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 717
- 971
Nimealikwa MLIMANI TV leo usiku kuanzia saa 2.30 usiku kwenye kipindi kinachoitwa Keki ya Taifa. Na pia nimealikwa MAGIC FM kesho asubuhi kuanzia saa 1.30.
Pamoja na mambo mengine, nitaongelea
(1.) Model ya kukuza ajira kwa vijana kupitia uwekezaji kwenye viwanda vyenye direct linkages na kilimo (kwa kutoa mikopo maalum kwa vijana wasomi) na kwenye kilimo chenyewe (kwa vijana wa vijijini na wasio na elimu/ujuzi), kama nilivyoiandaa tayari kwa kuiwasilisha Bungeni kwenye mkutano wa saba mwezi April 2012. Taarifa ya hoja hii nimeishaiwasilisha Bungeni tayari.
(2.) Model ya kujenga nyumba na kuzikopesha/kuziuza leo hii kwa watumishi wa umma na private sector employees kwa kutumia hazina ya watumishi hawa kama dhamana ya mikopo hiyo. Hii itatuwezesha kuwa na nyumba bora, zenye huduma zote, zenye ubora zote, miji mizuri, na kutufanya tuishi vizuri leo na wala siyo kesho. Si haki wala halali kwa watu wa leo kujenga maisha ya watu wa kesho wakati wao wakitaabika...
(3.) Current affairs - ikiwa ni pamoja na Kauli aliyoitoa Mhe. Spika kule jimboni kwake kuhusu hali ya maisha, kifedha, ya wabunge na kushuhudia kuwa wengi wao wanakusudia kujiuzulu ubunge kabla ya muda wao kuwadia