LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

hakuna bendera ya Uganda hata moja!!!! bendera zilijaa ni za kenya. waganda hawakujiandaa kwa ushindi!!!

Tarifa ,waandalizi ndio kwanza wa download wimbo wa taifa wa uganda, Hawajategemea ushindi huu, surprise surprise.
 
ivi waungwana embu tuache utani wajameni..ivi tanzania nchi yetu mpaka sasa tuna medali ngapi..juzi kati nlisikia(sina hakika) tumepata moja...embu nipeni habari!!!!!

labda medali kwa kukushiriki kila olympics bila ushindi, lol....!! Tz haijavuma hata tone kwenye hizi games zinazoisha leo!!!

Na tutaboronga tena Rio 2016 Olympics kama kawaida....!!
 
east africa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bravo Stephen Kiprotich, kijana wa miaka 23 amewaendesha puta wazee wa Kenya.

Waganda wameonyesha njia, nasi tutajitahidi huko Rio mwaka 2016.
 
east africa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Tumepata sababu nyingine kuharakisha East Africa Federation, tena kiongozi mmoja alipendekeza 2012 tungekubali sasa hivi wabongo wangertehekea GOLD kibao.
 
Mbongo mwingine Samson Ramadhani kamaliza No. 65.

Hapana mkuu amemaliza akiwa wa 66.

20120812_132440.jpg
Samson Ramadhani hongera kwa kumaliza, na ni afadhali kuliko wa South Africa alieanguka chali.
 
Back
Top Bottom