LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

Mganda Stephen Kiprotich anaonekana kusikilizia mguu wake wa kushoto. Lakini bado ana uwezo wa kumaliza mbio hizi.
 
20120812_125503.jpg
Stephen Kiprotich akiwapita wakenya wawili.

20120812_125511.jpg

Hapa akihakikisha wapo nyuma.
 
Mtaalam Stephen Kiprotich amekimbia kilomita 40.5 na karibu anafikia mwisho. Stephen ana miaka 23 na tayari amealikwa kushiriki mbio za London Marathon mwakani.
 
ivi waungwana embu tuache utani wajameni..ivi tanzania nchi yetu mpaka sasa tuna medali ngapi..juzi kati nlisikia(sina hakika) tumepata moja...embu nipeni habari!!!!!
 
Hivi leo hao watalii wetu ndio wanajogi? baada ya kula sana MacDonald na KFC leo wameona wapunguze mafuta ili wasirudi na vitambi. Sasa subiria kesho wataporudi na mibegi ya shopping
 
hakuna bendera ya Uganda hata moja!!!! bendera zilijaa ni za kenya. waganda hawakujiandaa kwa ushindi!!!
 
Back
Top Bottom