Hivi wabongo wanafanyiaga mazoezi wapi? mbona sijawahi kukutana nao maeneo yoyote wakifanya mazoezi?
Naangalia ktk ss 4 simuoni mbongo kabisaaaa! wametoa orodha ya watu 30 wliopo mbele hata hayumo! sijui kabana sehemu anakunywa maji or!
Ila wabongo wanapakaza, angalau tuwaone tu kwenye tv tutaridhika, sasa wao hata kuwaona hatuwaoni. sasa tutaamini vipi kama kweli wameshiriki!!!
Ila wabongo wanapakaza, angalau tuwaone tu kwenye tv tutaridhika, sasa wao hata kuwaona hatuwaoni. sasa tutaamini vipi kama kweli wameshiriki!!!
Mpaka sasa km 21, Mussa Faustine yuko No. 38 na Samson Ramadhani No. 68
I wonder how much it will cost to train our long distace runners in Eldoret Kenya, get them to know the ins and outs of the sport.
Mimi nadhani next time kwenye olympic inabidi wabongo tuwaambie wahakikishe kilomita kumi za kwanza wanakuwa mbele, it doesnt matter kama hawatamaliza mbio lakini tunataka angalau kuwaona kwenye TV. Kwa hiyo wao wawe wanaanza kama wanakimbia robo marathon, then wanachoka wanakaa pembeni ila tutakuwa tumeshawaona kwa luninga. Sasa muda wote tunamuangalia Kiprotich tu bana!!!
Hivi wabongo wanafanyiaga mazoezi wapi? mbona sijawahi kukutana nao maeneo yoyote wakifanya mazoezi?
Kwa sasa Kiprotich anafuatiliwa kwa karibu na Samuel Kirotich wa Uganda Mkenya mwingine Karui na MuEthiopia Ashbero.