LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

20120812_113842.jpg
Kiprotich akiwa mbele kwa tofauti ya sekunde 15.
 
leo lazima kieleweke jamani,tanzania tunarudisha dhahabu yetu waliochukuwa hawa wahuni na kutufanya tuirudishe kwa kukimbizana
 
Hivi humu kuna wa TZ wanshiriki pia? mbona sijawaona hata! Ok i will stick with my football, let me wait for the great Community shield game to cheer me up!
 
Sio wanariadha ni kina filbert bayi wanaoweka kambi nyumbani kwake kibaha
Mkuu hawahitaji kwenda Eldoret wakati mazingira ya aina hiyo yapo huko Mbulu. Tatizo la wanariadha wa hapa wanapenda kuishi na kufanyia mazoezi mjini ambako hakuna mazingira stahiki kwa long distance runners.
 
Mpaka sasa ni wakenya wawili William Kprotich, Kirui na Mganda Samuel Kiprotich.

20120812_122513.jpg
 
Hawa wa kwetu hawajachukua hata mefali moja kweli..niliwafurahia kweli wale wamarekani waliovunja wr jana..walikuwa jubilant sana...
 
Wote mnajua nafasi yetu kwenye RECORD za Olympics, tangia mwaka 1968 huko Mexico.

 
Last edited by a moderator:
Musa alikuwa wa 35 sasa anakimbia akiwa 33 na Rama alikuwa 63 amejivuta yuko wa 58, sio haba jamani
 
Ethiopia hawajapenda hali hii, na wanaanda "enquiry" kwamba ni kwanini mkimbiaji wao yupo nyuma namna hiyo.
 
Back
Top Bottom