This Week In PerspectiveNajua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
Dr. Lwaitama ansema baada ya matokeo ya arumeru watu wameanza kuwa na imani na NEC hasa ukizingatia uongozi mpya
Najua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
Tendwa amepanic baada ya kuambiwa na Dr, Mkumbo kuwa ali-violate freedom of movement baada ya kusema washihi walisema eti watamuua Lema akienda arumeru atauliwa lkn hakuguswa na na lishiriki 75% ya kampeni bila kudhuriwa na alionekana Hero.
Dr. Lwaitama anasema alishangaa sana Tendwa alivyotunga habari hiyo. Kwa kweli Tendwa anaibishwa mbele ya watanzania kwa uongo wake.
Naona wametoa michango mizuri. ila warning yangu tusije tukaweka conclusion kwa case ya Arumeru pake yake kwa kusema sasa tumekuwa na population maturity on elections. mjaribu Dodoma muone kama itatoa the same results
Hivi Tendwa alipataje u-judge, was it from Mwinyi, or Ben..coz he seemed to be
mwanachama/shabiki mzuri wa chama tawala.