Live in TBC topic what happened ktk uchaguzi wa Arumeru East

uwemba1

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
987
716
Najua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
 
Dr. Mkumbo anasema CCM badala ya kusema walichowafanyia raiya kwa miaka 50 wao wakawa wanatoa ahadi tu.
 
Tendwa amepanic baada ya kuambiwa na Dr, Mkumbo kuwa ali-violate freedom of movement baada ya kusema washihi walisema eti watamuua Lema akienda arumeru atauliwa lkn hakuguswa na na lishiriki 75% ya kampeni bila kudhuriwa na alionekana Hero.
Dr. Lwaitama anasema alishangaa sana Tendwa alivyotunga habari hiyo. Kwa kweli Tendwa anaibishwa mbele ya watanzania kwa uongo wake.
 
Najua wengi mshaacha kucheki TBCCM but just but that's what is happening Tatizo wanaongea english me siwapati coz nimetoka zile za kata na kingereza changu cha kichina aka feki.
This Week In Perspective
Tuangalie hivyohivyo mkuu tutakuwa tunaokota okota baadhi ya vijineno ukiunganisha lazima utapata picha nzima2 hi lugha bwana we acha tu! Asante kwa taarifa mkuu!
 
Dr. Lwaitama ansema baada ya matokeo ya arumeru watu wameanza kuwa na imani na NEC hasa ukizingatia uongozi mpya
 
Tendwa anadai Chama kinachoenda kwenye uchaguzi mdogo baada ya kifo au mahakama, kina-panic hivyo kuanza kufanya makosa, ambayo wapinzani wame-take advantage.

- Baregu anasema "there are no longer safe seats", CCM wamepanic ndo maana tulimwona Mkapa analikuwa anaongea mambo ya ajabu.
 
Naona wametoa michango mizuri. ila warning yangu tusije tukaweka conclusion kwa case ya Arumeru pake yake kwa kusema sasa tumekuwa na population maturity on elections. mjaribu Dodoma muone kama itatoa the same results
 
Prof. Baregu anasema kuwa Mkapa angetumia maneno aliyotumia arumeru asingetoka mzima pale jukwaani
 
Tendwa amepanic baada ya kuambiwa na Dr, Mkumbo kuwa ali-violate freedom of movement baada ya kusema washihi walisema eti watamuua Lema akienda arumeru atauliwa lkn hakuguswa na na lishiriki 75% ya kampeni bila kudhuriwa na alionekana Hero.
Dr. Lwaitama anasema alishangaa sana Tendwa alivyotunga habari hiyo. Kwa kweli Tendwa anaibishwa mbele ya watanzania kwa uongo wake.

Kuaibishwa kunamstahiri, maana ni yeye mwenyewe alihitaji hivyo!
 
Hivi Tendwa alipataje u-judge, was it from Mwinyi, or Ben..coz he seemed to be
mwanachama/shabiki mzuri wa chama tawala.
 
Naona wametoa michango mizuri. ila warning yangu tusije tukaweka conclusion kwa case ya Arumeru pake yake kwa kusema sasa tumekuwa na population maturity on elections. mjaribu Dodoma muone kama itatoa the same results

Vyama vya siasa vyote ulimwenguni huwa haviwezi kukubalika sehemu zote katika nchi, kikubwa ni kukubalika katika sehemu kubwa ya nchi na kwa asilimia kubwa ya wananchi, kwa mantinki hiyo swala la Dodoma haliweza kutunyima usingizi!
 
Hivi Tendwa alipataje u-judge, was it from Mwinyi, or Ben..coz he seemed to be
mwanachama/shabiki mzuri wa chama tawala.

Ma-judge wote ni wateule wa mwenyekiti wa chama tawala kwa maana hiyo lazima watakuwa wanachama wa chama kinachowateua! Hivyo anachokifanya Tendwa bado kingefanywa na mwingine yeyote katika nafasi yake, provided kwamba ni mteule wa mwenyekiti wa chama tawala!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom