List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Baada ya mwaka 1995 Mwalimu Nyerere kumkataa Lowassa kama angepitishwa kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, hali imekuwa hivyo kwa upande wa Dr. Slaa ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema ambaye amejitenga na wenzake juu ya maamuzi ya kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais kwa kupitia chama hicho.

Slaa alieongoza jopo la makamanda wa Chadema kuichafua CCM kwa kumuita Lowassa fisadi, leo hii angepaswa kuratibu mpangokazi mwingine wa kumsafisha na kumpigia kampeni mtu yuleyule waliomchafua kwa kutoa ushahidi katika majukwaa mbalimbali nchi nzima.

Hata hivyo Dr. Slaa ameonelea kujiweka pembeni na kukataa kuwa mnafiki wa kisiasa kwa kumsafisha mtu ambaye ananunka rushwa.

Hakika kwa hili Dr. Slaa anafuata nyayo za Nyerere kwa kuwasema hadharani wala rushwa na kukataa kuwasafisha kwa ushawishi wa mabilioni ya pesa.

Hakika ukweli wake utamuacha huru daima!
 
Dr. Slaa hana tamaa. Na alikuwa anamaanisha alichokuwa anasema. Wengine walikuwa hawapingi ufisadi bali walikuwa wanaumia roho kuona wengine wanapiga hela. Dr Slaa ufisadi anauchukia kutoka ndani ya roho yake. Anauchukia ufisadi kwa moyo wa dhati kabisa. Ningefurahi kumuona anaingia CCM amsaidie Dr Magufuli akiwa rais kubana wafanya madudu
 
Hivi baada ya Chadema kuwataja hawa mafisadi, je CCM na wapambe wake walishawahi kutoka mbele kuunga mkono hoja hiyo? Kwa mfano kwa kuwa mmojawapo wa waliotajwa ni viongozi wa serikali na chama, CCM kilifanya nini kuhusu tuhuma hizi?

Kama CCM na wapambe wake hawakusema chochote basi wakae kimya sasa na hata milele
 
Hivi hakuna wengine wa kunyooshewa vidole? Vipi Mkapa au JK akijiondoa katika CCM wao ni wasafi? Mbona watuhumiwa 10 wapo CCM bado? Hao hawana impact yoyote katika ufisadi uliotokea mpaka kufikia kutangazwa kwa orodha husika? Tuache unafiki. Think big
 
Muda si mrefu Dr Slaa atatoa Revised version ya List of Shame ambayo Mbowe amechukua namba 12

Nasema tuache unafiki kwa sababu kelele tunazoziona na kuzisikia tena kutoka kwa wanasiasa wetu hatukuwahi kuzisikia huko nyuma. Kwanini kuna kashifa nyingi tu na kubwa sana na wahusika wapo na wana nyadhifa kubwa serikalini na wengine wamezidi kung'ara katika uteuzi wa kugombea majimboni mwao.

Na kwa sababu wao wako katika chama chao kile kile business inaonekana is okay. Lakini huyu aliyeamua kuwakimbia wenzake anaonekana ni mkosaji mkubwa tens asiyehitaji kuhurumiwa au kusamehewa mbinguni na duniani.

Kama kweli Wanasiasa mnaofanya juhudi kubwa za kutuaminisha kwamba fulani hafai kwa sababu ni fisadi ondoeni unafiki mioyoni mwenu na waelezeeni wananchi kwa nguvu ile ile hawa wengine 10 waliobaki CCM kwamba ni mafisadi na ikibidi CCM isichaguliwe kwani bado inao mafisadi wengi licha ya mmoja wapo kujitoa katika chama chao.

Msipofanya hivyo ni hakika tutajua mna ajenda ya siri iliyo nyuma ya pazia. Wasomi acheni kubinafsishwa mawazo yenu kwa sababu ya kitu fulani
 
Tatizo fisadi huyu anataka nafasi ya juu kabisa ya kimamuuzi na katika list ya hao mafisadi wenzie karibia 90% ni marafiki zake,, na kuna wengine ambao hawako kwenye hiyo list nao ni wafuasi wake,,, mbaya zaidi CDM walisema wanao ushahidi na ndesamburo kwenye bunge akadiriki kusema watu kama hawa China hunyongwa...sisi hatukujua kama kuna list ya mafisadi 10 ila ni CDM ndio walituambia na tutakubali tu kama huyo si fisadi kama mtaita mkutano wa hadhara na kutuambia jamani ile list ya watu kumi kuanzia leo mafisadi ila tuliwasingizia tu****
 
Waliosema EL fisadi sio CCM ila ni CDM wenyewe na ndio waliotuletea list ya watu kumi,,CCM au bunge liliunda tume na tume ikasema EL katika hili ni muhusika anatakiwa awajibike na CDM mlikuwepo ila hamkukataa kwa yeye kuwajibishwa ila Mlipigana kuhakikisha anawajibika na baada ya hapo mkaja na list ya watu kumi,, MBOWE kuna hutuba aliwaambia wana CDM na kuwashangaa kwa nini wanachoma moto wezi wa simu na kumuacha EL anatesa??
Taasisi ya urais ni kubwa kabisa katika nchi na haihitaji longolongo au giza ambalo lipo kwa EL,, unajua kwa nini CCM walimkata kwenye maadili,, au picha anazogawa hovyo hela huzioni??
 
Muweka mada hawa uhakika na anachotaka kutuambia jipange ndugu yangu make picha iko wazi kabisa kama umeshindwa kusoma
 
Tatizo fisadi huyu anataka nafasi ya juu kabisa ya kimamuuzi na katika list ya hao mafisadi wenzie karibia 90% ni marafiki zake,, na kuna wengine ambao hawako kwenye hiyo list nao ni wafuasi wake,,, mbaya zaidi CDM walisema wanao ushahidi na ndesamburo kwenye bunge akadiriki kusema watu kama hawa China hunyongwa...sisi hatukujua kama kuna list ya mafisadi 10 ila ni CDM ndio walituambia na tutakubali tu kama huyo si fisadi kama mtaita mkutano wa hadhara na kutuambia jamani ile list ya watu kumi kuanzia leo mafisadi ila tuliwasingizia tu****
Mkuu,
Sina zaidi ya kuongeza katika comment yako.

Kuna baadhi ya watu hawataki kuusikia au kuuelewa ukweli uliobainisha kwenye comment yako.
 
Waliosema EL fisadi sio CCM ila ni CDM wenyewe na ndio waliotuletea list ya watu kumi,,CCM au bunge liliunda tume na tume ikasema EL katika hili ni muhusika anatakiwa awajibike na CDM mlikuwepo ila hamkukataa kwa yeye kuwajibishwa ila Mlipigana kuhakikisha anawajibika na baada ya hapo mkaja na list ya watu kumi,, MBOWE kuna hutuba aliwaambia wana CDM na kuwashangaa kwa nini wanachoma moto wezi wa simu na kumuacha EL anatesa??
Taasisi ya urais ni kubwa kabisa katika nchi na haihitaji longolongo au giza ambalo lipo kwa EL,, unajua kwa nini CCM walimkata kwenye maadili,, au picha anazogawa hovyo hela huzioni??
Mkuu,
Thank you!
 
Nasema tuache unafiki kwa sababu kelele tunazoziona na kuzisikia tena kutoka kwa wanasiasa wetu hatukuwahi kuzisikia huko nyuma. Kwanini kuna kashifa nyingi tu na kubwa sana na wahusika wapo na wana nyadhifa kubwa serikalini na wengine wamezidi kung'ara katika uteuzi wa kugombea majimboni mwao.

Na kwa sababu wao wako katika chama chao kile kile business inaonekana is okay. Lakini huyu aliyeamua kuwakimbia wenzake anaonekana ni mkosaji mkubwa tens asiyehitaji kuhurumiwa au kusamehewa mbinguni na duniani.

Kama kweli Wanasiasa mnaofanya juhudi kubwa za kutuaminisha kwamba fulani hafai kwa sababu ni fisadi ondoeni unafiki mioyoni mwenu na waelezeeni wananchi kwa nguvu ile ile hawa wengine 10 waliobaki CCM kwamba ni mafisadi na ikibidi CCM isichaguliwe kwani bado inao mafisadi wengi licha ya mmoja wapo kujitoa katika chama chao.

Msipofanya hivyo ni hakika tutajua mna ajenda ya siri iliyo nyuma ya pazia. Wasomi acheni kubinafsishwa mawazo yenu kwa sababu ya kitu fulani
Safiii sina cha kuongeza mkuu
 
Waliosema EL fisadi sio CCM ila ni CDM wenyewe na ndio waliotuletea list ya watu kumi,,CCM au bunge liliunda tume na tume ikasema EL katika hili ni muhusika anatakiwa awajibike na CDM mlikuwepo ila hamkukataa kwa yeye kuwajibishwa ila Mlipigana kuhakikisha anawajibika na baada ya hapo mkaja na list ya watu kumi,, MBOWE kuna hutuba aliwaambia wana CDM na kuwashangaa kwa nini wanachoma moto wezi wa simu na kumuacha EL anatesa??
Taasisi ya urais ni kubwa kabisa katika nchi na haihitaji longolongo au giza ambalo lipo kwa EL,, unajua kwa nini CCM walimkata kwenye maadili,, au picha anazogawa hovyo hela huzioni??

Hivi ripoti ya mwakyembe ndio cdm sikuhizi?

Pili,kuna mtu ccm huko hajagawa hela?
 
Tatizo fisadi huyu anataka nafasi ya juu kabisa ya kimamuuzi na katika list ya hao mafisadi wenzie karibia 90% ni marafiki zake,, na kuna wengine ambao hawako kwenye hiyo list nao ni wafuasi wake,,, mbaya zaidi CDM walisema wanao ushahidi na ndesamburo kwenye bunge akadiriki kusema watu kama hawa China hunyongwa...sisi hatukujua kama kuna list ya mafisadi 10 ila ni CDM ndio walituambia na tutakubali tu kama huyo si fisadi kama mtaita mkutano wa hadhara na kutuambia jamani ile list ya watu kumi kuanzia leo mafisadi ila tuliwasingizia tu****

Sio Tulimsingizia Tutawaambia Kati Ya Wale 11 Mmoja Ameokoka Na Yuko Tayari Kutuambia Jinsi Ufisadi Ulivyotokea, Kwani Hata Jambazi Akisalimisha Silaha Zake Polic Husamehewa
 
Waliosema EL fisadi sio CCM ila ni CDM wenyewe na ndio waliotuletea list ya watu kumi,,CCM au bunge liliunda tume na tume ikasema EL katika hili ni muhusika anatakiwa awajibike na CDM mlikuwepo ila hamkukataa kwa yeye kuwajibishwa ila Mlipigana kuhakikisha anawajibika na baada ya hapo mkaja na list ya watu kumi,, MBOWE kuna hutuba aliwaambia wana CDM na kuwashangaa kwa nini wanachoma moto wezi wa simu na kumuacha EL anatesa??
Taasisi ya urais ni kubwa kabisa katika nchi na haihitaji longolongo au giza ambalo lipo kwa EL,, unajua kwa nini CCM walimkata kwenye maadili,, au picha anazogawa hovyo hela huzioni??

Sii ni Chadema waliosema hiyo list? Basi wanasema tena kuwa baada ya kumtaja mtu wa juu mwenye Richmond na huyo wa juu hajakanusha hivyo Lowasa wamemtoa kwenye hiyo list.
Kama unakubali kuwa Chadema ndio walitoa hiyo list na sasa wameifanyia emendment basi lazima ukubali kuwa mafisadi wako 10 kwa sasa.
 
Zamu yake ya urais ilipokaribia ndio maneno yakaenea zaidi, kwanini? waliona hakuna njia ya kumzuia kuingia ikulu, wakawatuma watoto waanze kumchafua kwa ahadi ya kupewa madaraka na wengine wateuliwe wao kwasababu ya undugu wakamchafua sana bila huruma, but iwe isiwe ukawa tutaingia ikulu kwa kishindo.
 
Tatizo fisadi huyu anataka nafasi ya juu kabisa ya kimamuuzi na katika list ya hao mafisadi wenzie karibia 90% ni marafiki zake,, na kuna wengine ambao hawako kwenye hiyo list nao ni wafuasi wake,,, mbaya zaidi CDM walisema wanao ushahidi na ndesamburo kwenye bunge akadiriki kusema watu kama hawa China hunyongwa...sisi hatukujua kama kuna list ya mafisadi 10 ila ni CDM ndio walituambia na tutakubali tu kama huyo si fisadi kama mtaita mkutano wa hadhara na kutuambia jamani ile list ya watu kumi kuanzia leo mafisadi ila tuliwasingizia tu****
Sasa hili fisadi jingine linalomaliza miaka kumi tumeishi nalo tuuuu na hatulalamiki, pamoja na kuwa miongoni mwa vinara 11 chama chake kikampendekeza na kumruhusu apeperushe bendera ya kijani na hatimaye kurudi ikulu!
 
Back
Top Bottom