Bottom line, hawakuwahi kuwa "Tanzanian" therefore hawawezi kuwa "Great Tanzanian" (sic)
Hadi saa tuna
- Kinjekitile Ngwale
- Mkwawa
- Kawawa
- Abushir bin Salim
- Chief Fundikira
Huyu ni nani!Peter maha was great
hivi Tipu tipu alikua wa wapi?