List of 100 Great Tanzanian of all Time

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Wana JF naleta wazo tutengeneze list ya Great Tanzanian ambao wamepata kutokea ambao bado wanaisha au walishatangulia mbele za haki. List hii ningependa iwe ya great thinker ambayo haitakuwa influenced na mambo ya dini,chama,kabila wala chochote zaidi ya mchango wa mtu mwenyewe katika eneo hili la Africa liitwalo Tanzania toka wakati ikitawaliwa katika chiefdoms na machief kama Mkwawa, Meli,Abushir bin Salim hadi akaja mkoloni ikiitwa German East Africa au Deutsch-Ostafrika,baadae Tanganyika na hadi sasa Tunapoiita Tanzania. Watu hao wanaweza kutoka nyanja zote za maisha kama Academicians, Scientist, Politicians, Freedom Fighters, Philanthropist, Wanaharakati, Economist e.t.c

Tunaweza kuwataja Randomly hata kama watazidi 100 lakini baadaye tutakuja kukubaliana tukapanga wa kwanza hadi wa mwisho kwa kufuatana na mchango wake kama nilivyoeleza hapo juu.

Kwa kuanza mimi kwangu mimi ni Kinjekitile Ngwale.
 
Tanzania ilizaliwa 1964, hakukuwa na Mtanzania kabla ya 1964. Tafuteni jina lingine.
 
Wakuu msilete mzaa nafanya utafiti wa kweli kwenye hii kitu. Kama umemtaja mtu ambaye wewe unamjua sisi hatumjui itabidi unipe detail zaidi. Asanteni sana Wakuu.

Mwingine mimi namtaja Chief Fundikira
 
Tanzania ilizaliwa 1964, hakukuwa na Mtanzania kabla ya 1964. Tafuteni jina lingine.

Wana JF naleta wazo tutengeneze list ya Great Tanzanian ambao wamepata kutokea ambao bado wanaisha au walishatangulia mbele za haki. List hii ningependa iwe ya great thinker ambayo haitakuwa influenced na mambo ya dini,chama,kabila wala chochote zaidi ya mchango wa mtu mwenyewe katika Taifa hili la Tanzania toka wakati ikitawaliwa na machief kama Mkwawa, Meli,Abushir hadi akaja mkoloni ikiitwa German East Africa au Deutsch-Ostafrika,baadae Tanganyika na hadi sasa Tunapoiita Tanzania.

Zingatia hapo kwenye rangi mkuu!
 
Hata kama imezaliwa 1964 bado sehemu hii ya TANZANIA ndiyo ilikuwa ikiitwa Germany East Africa au Tanganyia au Himaya ya Sultani ukipenda.
 
Hao waliokuwapo na kutangulia kabla ya 1964 unaweza kusema wamekuwa na mchango katika kuijenga Tanzania, lakini kuwaita Watanzania ni makosa, tafuta jina jingine.
 
Hata kama imezaliwa 1964 bado sehemu hii ya TANZANIA ndiyo ilikuwa ikiitwa Germany East Africa au Tanganyia au Himaya ya Sultani ukipenda.

Bottom line, hawakuwahi kuwa "Tanzanian" therefore hawawezi kuwa "Great Tanzanian" (sic)
 
Hadi saa tuna

  1. Kinjekitile Ngwale
  2. Mkwawa
  3. Kawawa
  4. Abushir bin Salim
  5. Chief Fundikira
 
Hadi saa tuna
  1. Kinjekitile Ngwale
  2. Mkwawa
  3. Kawawa
  4. Abushir bin Salim
  5. Chief Fundikira
  6. Shaaban bin Robert
 
sijakuelewa lengo lako hasa ni nini. ili iweje, na kwanini. fafanua vizuri.
 
Back
Top Bottom