List of 100 Great Tanzanian of all Time

Bottom line, hawakuwahi kuwa "Tanzanian" therefore hawawezi kuwa "Great Tanzanian" (sic)

Tutanzisha baadae hiyo mada kwa sasa walionielewa wanaendelea kuchangia. Thanks
 
Hadi saa tuna


  1. Kinjekitile Ngwale
  2. Mkwawa
  3. Kawawa
  4. Abushir bin Salim
  5. Chief Fundikira

Hawa watemi waliokuwa wanabadilishana diamonds kwa shanga ndio mnawaita magreat? acheni utani wakuu halafu historia bado haijaandikwa hii muiyuayo imechujwa sana mistari mingi ni kama hekaya tu
 
salim a salim
nyerere
kawawa
mwinyi
sokoine
reginald mengi
elvis musiba


ningependa zaidi list ya entreprenuers......
 
kwangu mimi mkwawa is the best since alipigana vita na akafanikiwa kumchapa mjerumani, mjerumani akajipanga wakapigana vita miaka minne msituni tena akiwa na silaha duni ukilinganisha na na adui yake mjerumani
 
Bibi Titi Mohamed-mpigania uhuru, Ali Hassan Mwinyi kukuza kiswahili, Nyirenda kupandisha mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro.
 
Julius Nyerere
Edward Sokoine
Benjamin Mkapa
Asha Rose Migiro
Amaan Abeid Karume
Edward Lowasa
Lady Jay Dee
Marijani Rajabu
Filbert Bayi
Saba sita - Polisi Arusha aliyesifika kwa kupambana na majambazi na kufanikiwa kutokomeza ujambazi Arusha kwa kiasi kikubwa.
Wilbrod Silaa
Msuguri - vita vya Kagera
Mzee Mwanakijiji
Jenerali Ulimwengu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom