Lipi nilichukue

hapo ntaibiwa mpaka mwisho mume mwenyewe anapenda kutoka mwenyewe sana kisa nina mtoto wa miaka minne ntamwachia nani na hataki habari za housgeli

kumbe tatizo ni la kwako madia, wala usimlaumu. sikiliza nikwambie kaa chini na mumeo mwambie kabisa kuwa unahitaji mdada wa kukusaidia kazi hasa za mtoto, akikugoemea mwambie basi tumpeleke kwa bibi yake ili wewe upumzike ongea hata na dr akuandikie ed ya kazi za ndani. ili aone umuhim. usilogwa kumwacha mume atoke mwez mzima peke yake lazima ataanguka dhambini tu. siyo lazima kila siku utoke naye but in aweek mara 3 au 4 siyo mbaya. ngoja nikupn nkwambie kitu.
 
ila the fact hataki Housegirl, huenda anaepusha shari. Anajijua udhaifu wake!
 
ma dia kama unaipenda na narudia tena kama unaipenda ndoa yako kamwe usichunguze hayo mambo kwani hata kama ukiyajua hayatabadili uhalisia na kutokujua ni bora kutakupunguzia jaka moyo. Siku hizi wenzio huwa tunawaweka bize asaa 24 hadi mwenyewe anakoma. kwani huwa hapendi kutoka na wewe mara kwa mara? jijengee tabia ya kutoka naye

Kadada naomba nikuulize... Umeolewa? Ndoa yako ina umri gani? Kama bado siku ukipata uzoefu ktk ndoa kwa japo miaka mitano tu naomba uniPM nikuambie kitu changu.
 
Inawezekana mumewako amesha kula mzigo wa dhambi . Hebu jiulize:
1. Kuna ulazima gani wa mume wako kuwa eaham wanaume anaotembea nao huyo mama?
2. Kulikuwa na ulazima gani wa mumeo ku trace in calls na out calls za huyo mama? Yeye kama nani?
3. Watu wameona viashiria gani visivyo vya kawaida mpaka waka mtuhumu? Kwanini wasitajwe hao anaodai mume wako kwamba ni ma bwana wa huyo mama? Je ina maana mumeo ndo yuko karib kuliko wateja wote?
Mimi nadhani fanya uchumguz wakutosha. Unaweza tu ukaanza na kumkataza asiende pale na wala asiwasiliane na huyo mama.
Pia mwambie kama anataka kunywa pombe akunywe nyumbani, ila ingekuwa bora akaacha kabisa pombe. ATAKULETEA UMEME BURE! Be smart.
 
Kadada naomba nikuulize... Umeolewa? Ndoa yako ina umri gani? Kama bado siku ukipata uzoefu ktk ndoa kwa japo miaka mitano tu naomba uniPM nikuambie kitu changu.

Asprin nimeolewa 10 years sasa nina nina watoto 3 mmdogo ana mwez mmoja sasa.
 
Hongera umeolewa na rafiki yako. Si wote wenye bahati hiyo.

nashukuru Mungu sana Asprin ni yeye ndiye aliyenipa na pia nafikiri kuna hekima ambayo nilipewa sijisifu nilipitishwa kwenye magumu na ndugu wa mume yaani kama ingekuwa ni mtu mwingine angeondoka b4 hata kuwa na mtoto mmoja, but nilivumilia sana hadi nikaitwa KUBOTA.

nikwambie kitu mabinti wengi huwa mnasahau hili kwenye ndoa kamwe usiweke upendo mbele, tanguliza kwanza uvumilivu kisha heshima ndipo upendo ufuate. ukiutanguliza upendo ma dia kila kosa atakalo fanya umpendae litakuumiza sana. uvumilivu muulize hata mama yako atakwambia. ni ngumu for the first day but as you get used to it inakuwa simple. Binafsi huwa najua kuvumilia na kuheshimu kuliko kumpenda mume. hapa nitatofautiana na wengi lakin falsafa yangu hii imebnifanya kila siku niimbe niko kanani ndani ya ndoa.

pia muktegemea Mungu huyu akikuongoza na kila siku kwa imani yako amka saa 8 usiku mwambe mungu naomba amani na uzima ndani ya ndoa yako nakwambia atafanya. na uzuri wa mungu ukiomba kwa imani anakupa.
 
pole ever smiling gal..you sound like such a sweet lady who doesnt deserve what is on her plate!!jikaze kidogo tu-all will be well!
Kissez to yo baby-napenda watoto walio katika rika hilo!
 
jamani asante ma dia phina gfsonwin nashukuru kweli umenikumbusha kitu cha maana kuvumilia na heshima vikitangulia neno mwanamke mpumbavu haitasikika lakin upendo ukitangulia utaumia sana na utashinda ukilia
 
kama mumewe anakunywa pombe hapo
na probably anakopa pia hizo pombe
na huyo mwanamke anajirahisisha kwake.....sijui niikujibu vipi hapo
watu wazima wanaelewa....

wewe hujadhalilishwa
kwani mumeo akila chakula reastaurant huko njiani
amekudhalilisha wewe kwa mapishi yako?
hee,mbona unakuwa mkali hivyo?
 
Eversmilin, kwanza nakupa pole kabisa ya dhti kwa hayali unayoipata kwa sasa. Pili napenda nikushauri kama mwanamke mtu mzima mwenye mume wa halali yaani humuibii mtu mumewe.

Ma dia maisha ya ndoa yanajengwa na uaminifu na upendo na heshima tu. Mambo engine yote ni siasa zisizokuwa na mpango wa kustawisha penzi. Ninaamini kwanza mumeo , tena na hata huyo mwizi wako anakuogopa na kukugwaya. so just cool down. Waa usitake kuyajua ya kama kweli walivuana chupi au la kwani kwa kufanya hivyo unaweza badala ya kujenga ukabomoa kumbuka mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

kwa kua kabinti kenyewe mvuto ni F basi wewe jikoki kimtindo uwe wa kupendeza muda wowote kama hukua unajua kulala ukiwa umepaka lipstic na poda anza leo ila usizidishe. pia mweke mumeo bize wiki nzima. Ningekuwa mimi wewe ningeanza kwa kuomba outing kwenda hapo pub kila jion. usione ubahili kila siku mchana mwabie mumeo leo sweet nina bia zako mbili na nyama nusu jion nataka nikakupatie. nenda nae hapo mpe bia mbili kama na nyama choma, akimaliza rudi naye home. Kwa binadam wa kawaida kama alikuwa anacheat ukumuweka bize unambadilisha moo na fikira matokeo yake wewe utashinda. kamwe usimchunguze but keep him busy tena ukiwa huko usimweleze matatizo ya home bali mambo mazuri ambayo unajua anapenda kuskia. mwache huyo gume gume ababaike mwenyewe atahama kwenye hiyo pub.
Naamin meo ni anakuheshim na kukupenda ndio maana hajakuonyeshea wazi.na hilo ond la muhim kwan huwa hatuangalii anatembea na nani bali je ananiheshimu kiasi kwamba anayafanya kwa siri?
mimi huwa nachoka,mtu akicheat,kwa kuwa hakuonyeshi,ni anakupenda.mapenzi gani hayo?ku cheat,ni kuna kitu anakikosa ndani ya ndoa,kinamfanya acheat.mwanaume aki cheat hata kama hajionyeshi kwangu mimi huwa hakupendi.kwa nini tunapenda kujidanganya?wapo wanaume wana mapenzi na wake zao,na hawajawahi ku cheat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom