Lipi nilichukue

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
wakuu habari za jumapili,kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu wa mtaa kwamba hata ikitokea misiba huwa lazima tuende wote,aliyeniunganisha na huyo mwanamke ni mume wangu ,huyo mwanamke ameolewa na wana kasmall pub ambacho kamejificha mume wangu alipenda kuchill sana akitoka tu job anapitia na mimi cku za wikiend nkaambiwa kuna uvumi kwamba anatembea na mume wangu lakini mume wangu akasema hayo maneno ya watu kwa kua wanamuona mida mingi yuko kwenye hiyo pub ck moja mume wangu akanionyesha jinsi alivyotrace namba yake na kupata outcall na incall zake tena akanitajia list ya wanaume aliotembea nao ambao yeye mume wangu anawafahamu,mi nkapotezea sasa kuna mama mmoja mtu mzima ameniambia yule mwanamke ni mnafiki kwangu na anaogopa kunitembelea kwani anafeel guilty na amesema ni kweli kabsa mume wangu aliniambia yule mwanamke alikua anamtaka na alikua anampa siri za mume wake kama ni mchovu lakini mume wangu alikataa asingeweza kutembea naye kwani mume wake ni mngon na mume wangu ni mngoni kwa hiyo asingeweza kutembea naye ni kama ndugu,sasa nashindwa kuelewa kweli yule mwanamke ametembea na mume wangu au la??
 
acha mapepe we mtoto.......

kama alishatembea nae wewe sasa ndo ukijua itakusaidia nini?

kwa ufupi mumeo ni mjanja...kashajua huyo mwanamke ni mcharuko....

so hawezi kumfanya mpenzi wake permanent.....sana sana 'alipita tu hapo'

na wewe bado ndo 'malkia mwenyewe'

sasa wewe unatafuta 'kumchunguza nyoka' kama ana miguuu
shauri yako........
 
jamani the boss kwenda kutembea na mtu wa karibu hivyo si kunidhalilisha mwanamke mwenyewe mvuto F
 
jamani the boss kwenda kutembea na mtu wa karibu hivyo si kunidhalilisha mwanamke mwenyewe mvuto F

kama mumewe anakunywa pombe hapo
na probably anakopa pia hizo pombe
na huyo mwanamke anajirahisisha kwake.....sijui niikujibu vipi hapo
watu wazima wanaelewa....

wewe hujadhalilishwa
kwani mumeo akila chakula reastaurant huko njiani
amekudhalilisha wewe kwa mapishi yako?
 
ck moja mume wangu akanionyesha jinsi alivyotrace namba yake na kupata outcall na incall zake tena akanitajia list ya wanaume aliotembea nao ambao yeye mume wangu anawafahamu,.....alikataa asingeweza kutembea naye kwani mume wake ni mngon na mume wangu ni mngoni kwa hiyo asingeweza kutembea naye ni kama ndugu

mume wako ametrace number yake ya nini kama hana interest nae?? inamaana angekuwa sio mngoni je, angeweza kutembea nae? mulika mwiziiiii
 
[/COLOR][/B]

mume wako ametrace number yake ya nini kama hana interest nae?? inamaana angekuwa sio mngoni je, angeweza kutembea nae? mulika mwiziiiii

wewe ndo unamu amsha mwenzio
mimi nilipoona tu kaambiwa nime trace simu
nikajua tayari 'keshachapwa mtu'
nikamjibu kiutu uzima
 
Hata kama mumeo ametembea nae unafikiri atakubali?lol!.
Hebu jiulize swali dogo: kama mumeo hana interest nae alitrace namba yake ili iweje?..
Wanakuzunguka hao, mumeo kaona the best way ni kuwafanya muwe marafiki ili usigundue mapema..
Lisemwalo lipo kama halipo laja..fanya uchunguzi binafsi utapata majibu sahihi..
 
wakuu habari za jumapili,kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu wa mtaa kwamba hata ikitokea misiba huwa lazima tuende wote,aliyeniunganisha na huyo mwanamke ni mume wangu ,huyo mwanamke ameolewa na wana kasmall pub ambacho kamejificha mume wangu alipenda kuchill sana akitoka tu job anapitia na mimi cku za wikiend nkaambiwa kuna uvumi kwamba anatembea na mume wangu lakini mume wangu akasema hayo maneno ya watu kwa kua wanamuona mida mingi yuko kwenye hiyo pub ck moja mume wangu akanionyesha jinsi alivyotrace namba yake na kupata outcall na incall zake tena akanitajia list ya wanaume aliotembea nao ambao yeye mume wangu anawafahamu,mi nkapotezea sasa kuna mama mmoja mtu mzima ameniambia yule mwanamke ni mnafiki kwangu na anaogopa kunitembelea kwani anafeel guilty na amesema ni kweli kabsa mume wangu aliniambia yule mwanamke alikua anamtaka na alikua anampa siri za mume wake kama ni mchovu lakini mume wangu alikataa asingeweza kutembea naye kwani mume wake ni mngon na mume wangu ni mngoni kwa hiyo asingeweza kutembea naye ni kama ndugu,sasa nashindwa kuelewa kweli yule mwanamke ametembea na mume wangu au la??

Eversmilin, kwanza nakupa pole kabisa ya dhti kwa hayali unayoipata kwa sasa. Pili napenda nikushauri kama mwanamke mtu mzima mwenye mume wa halali yaani humuibii mtu mumewe.

Ma dia maisha ya ndoa yanajengwa na uaminifu na upendo na heshima tu. Mambo engine yote ni siasa zisizokuwa na mpango wa kustawisha penzi. Ninaamini kwanza mumeo anakuheshimu sana, tena anakupenda sana na hata huyo mwizi wako anakuogopa na kukugwaya. so just cool down. Waa usitake kuyajua ya kama kweli walivuana chupi au la kwani kwa kufanya hivyo unaweza badala ya kujenga ukabomoa kumbuka mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

kwa kua kabinti kenyewe mvuto ni F basi wewe jikoki kimtindo uwe wa kupendeza muda wowote kama hukua unajua kulala ukiwa umepaka lipstic na poda anza leo ila usizidishe. pia mweke mumeo bize wiki nzima. Ningekuwa mimi wewe ningeanza kwa kuomba outing kwenda hapo pub kila jion. usione ubahili kila siku mchana mwabie mumeo leo sweet nina bia zako mbili na nyama nusu jion nataka nikakupatie. nenda nae hapo mpe bia mbili kama na nyama choma, akimaliza rudi naye home. Kwa binadam wa kawaida kama alikuwa anacheat ukumuweka bize unambadilisha moo na fikira matokeo yake wewe utashinda. kamwe usimchunguze but keep him busy tena ukiwa huko usimweleze matatizo ya home bali mambo mazuri ambayo unajua anapenda kuskia. mwache huyo gume gume ababaike mwenyewe atahama kwenye hiyo pub.
Naamin meo ni anakuheshim na kukupenda ndio maana hajakuonyeshea wazi.na hilo ndo la muhim kwan huwa hatuangalii anatembea na nani bali je ananiheshimu kiasi kwamba anayafanya kwa siri?
 
ma dia kama unaipenda na narudia tena kama unaipenda ndoa yako kamwe usichunguze hayo mambo kwani hata kama ukiyajua hayatabadili uhalisia na kutokujua ni bora kutakupunguzia jaka moyo. Siku hizi wenzio huwa tunawaweka bize asaa 24 hadi mwenyewe anakoma. kwani huwa hapendi kutoka na wewe mara kwa mara? jijengee tabia ya kutoka naye
 
Shosti mambo mengine sio yakuyafatilia kama ameshakwambia basi muelewe wewe punguza mahusiano na huyu mwanamke
na asikushughulishe ongeza mapenzi kwa mumeo,fanya kua umefugua ukurasa mpya na wala suala la huyo mcharuko usililete tena jiamini shosti mpaka kakuoa kaijua thamani yako,vumilia ndio maana ya ndoa....
 
nasikia uchungu sana

hebu acha mapepe
unasikia uchungu kwani maoni yetu ni asilimia mia moja kweli?
yawezekana hajatembea nae vile vile.....

mimi nina wanawake ukinikuta nao unaweza sema nimetembea nao saana
lakini wapi.....punguza mapepe
 
nashukuru kwa ushauri mpenzi gfsonwin ntampotezeaje huyo mwanamke lol

unajua kama unaibiwa basi usidili na mwizi li dili na mzigo wako. labda nikuulize hivi kama una mali yako ukaambiwa leo kuna watu wataiiba je utatafuta kuwajua au utaihifadhi katika hali ya usalama?
 
kwa sasa hivi ma dia cmtaki wala hata kumsikia labda itokee bahati mbaya ametembea naye hajatembea amejirahisisha atajijua
 
hapo ntaibiwa mpaka mwisho mume mwenyewe anapenda kutoka mwenyewe sana kisa nina mtoto wa miaka minne ntamwachia nani na hataki habari za housgeli
 
kwa sasa hivi ma dia cmtaki wala hata kumsikia labda itokee bahati mbaya ametembea naye hajatembea amejirahisisha atajijua

very easy to say. . .ila jifanye mjinga to.just play ur part as a wife tena na mapenzi ya hali ya juu mpaka atashangaa huko nje anafuata nini(kama kweli anatoka nje).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom