Line za TIGO zina expire date?

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Line yangu ya tigo imekata mawasiliano jana mida ya saa tano hivi, nimeuliza watu kama watatu hivi naambiwa hiyo inatokea mara kwa mara kwa mtandao wa tigo na wamenishauri nika tengeneze line mpya, Wakuu vipi limesha wapata hili?
 
Ndiyo zina expire date, lakini kama ulikua unatumia na kuweka voucher kila mara basi muda unaongezeka wa kuexpire.
Nenda office za TIGO wakuangalizie tatizo nini. Yangu mara ya mwisho nilikua siwezi check salio wala kupiga, nilivyo enda ofisini kwao waka reactivate.
 
Back
Top Bottom