Line Yangu Ndo Inayofaa...

Mmh! wala wewe sio fiancee wake, unajipendekeza tu. Ngoja nikueendee kwa Bi. Kalembwana kule Kilombero nikakushushe busha ndio utakoma

EEEEEEEEEEEHhhhhhhhhhhh hayo tena? Judith tayari mambo ya LUKOMOLO NA SAMBA toka mitaa yetu kwa mzee MWANAMARUNDI kanda ya ziwa, Busha litagonga na kurudi kwako maana Ngosha hata siku moja hawapati Busha, usijaribu weye....
 
kwa kweli hiyo line ni haramu na ya kisodoma. napata nightmare na hangover za ajabu nikiona hata zile picha kule kwa wakubwa. tafadhari jamani kaka zetu kwa nini lakini mnakosea shabaha namana hii? we umeomba ttcl unaunganishiwa unawela tigo! kwa kweli jamani hapana. mkutano umevurugwa na mamabo haya ya kuchakachua line za simu, nadhani ninahitai kupumzuka niliombee taifa letu kwa Mungu

Miss Judith nitakuimbia kila wimbo utakao, nitakuheshimu zaidi ya unavyodhani, jamani tukutane na tuliombee taifa letu sote maana tukiwa wote mimi na wewe lazima kondoo wengine watakuja, nimeongea na Rev Masanilo atakuwepo pia....Unaonaje hapo?
 
EEEEEEEEEEEHhhhhhhhhhhh hayo tena? Judith tayari mambo ya LUKOMOLO NA SAMBA toka mitaa yetu kwa mzee MWANAMARUNDI kanda ya ziwa, Busha litagonga na kurudi kwako maana Ngosha hata siku moja hawapati Busha, usijaribu weye....
hahahahahahahahahahahahahahah teh teh teh teh teh hii saga lazima niibuke kidedea Mkuu, na wewe utakuwa mshereheshaji kwenye ndoa yangu takatifu na Miss Judy i.e. (Mokoyo and Judith wedding)
 
Miss Judith nitakuimbia kila wimbo utakao, nitakuheshimu zaidi ya unavyodhani, jamani tukutane na tuliombee taifa letu sote maana tukiwa wote mimi na wewe lazima kondoo wengine watakuja, nimeongea na Rev Masanilo atakuwepo pia....Unaonaje hapo?

haha, haya bwana lakini naomba tuheshimu miili ya wamama. miili yao ni miili yetu kwa burudani zetu, kwa uzazi wetu na kwa ustawi wetu sote. muipende na kuithamini kama mnavyoipenda na kuithamini miili yenu. msigeuze miili ya mama na dada zenu kuwa mitambo ya kupigia simu kila line. huu ndio ujumbe wangu tsaidiane kuueneza kwa kila mtu na hapo hata akija rev mamabo yatakuwa poa
 
haha, kama unataka kuachana na ukapera wewe muombe Mungu atakupa mke mwema maana yeye ni mwaminifu kwa wote wamwaminio. sasa haya ya kujua kama nimeolewa au la sio nzuri bwana tena hadharani namana hii?
Miss Judy asante kwa maneno mazuri, tuache kuongelea hadharani, ngoja tuingie upenuni tuchat through PM
 
haha, haya bwana lakini naomba tuheshimu miili ya wamama. miili yao ni miili yetu kwa burudani zetu, kwa uzazi wetu na kwa ustawi wetu sote. muipende na kuithamini kama mnavyoipenda na kuithamini miili yenu. msigeuze miili ya mama na dada zenu kuwa mitambo ya kupigia simu kila line. huu ndio ujumbe wangu tsaidiane kuueneza kwa kila mtu na hapo hata akija rev mamabo yatakuwa poa
Sasa miss Judith tunakutana au inakuwaje jamani? ila kama kopa yangu inadata ujue kusikia maneno yako bila kusikia YES we can Kutana?
 
Miss Judy asante kwa maneno mazuri, tuache kuongelea hadharani, ngoja tuingie upenuni tuchat through PM
Fisadi plus Mchakachuaji huyu, mbona unataka kujificha, judith mwaya usiende chumbani mambo yote sebuleni.....
 
Fisadi plus Mchakachuaji huyu, mbona unataka kujificha, judith mwaya usiende chumbani mambo yote sebuleni.....
haahahahahahahahha very very happy mchakato mgumu hadi nimeitwa fisadi mchakachuaji lol, nimejiondoa kwenye game bana Magulumangu, kila la kheri
 
Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe hupwaya na ukiitikisa tu network failure, Airtel mambo ya One8 inakamata lakini milimani tu, mabondeni hamna kitu, Zantel zenyewe ukiwa karibu na bahari inakamata sijui hii ni kwa watu wa Pwani tuu au vipi, Sasa mie nina line Ya Tigo, wakuu kote inakamata hata vijijini siku hizi pia mnajua bei yake rahisi, usiku napiga, mchana napiga, jioni ndo usiombe, hamna eti network busy wakati wowote, Tatizo ni moja tu, Kuiweka mara ya Kwanza ilikuwa ngumu kidogo...hii hali kuna mtu humu imemkuta wazee?

Na maduka yanayouza vocher za tiGO yanajulikana utayaona mlangoni yamevalishwa mshipi (chain).
 
mh mpenzi pamoja na ujanja wangu na umakeke wangu wote kwenye mambo haya cna nilijualo wala sihitaji kujua. Kifupi pamoja na yote ila nina hofu ya mungu mwaya
Hata mimi mtandao huu sijawahi hujaribu.... ila kuna sifa mbaya nimewahi kuzisikia... anyway I never judge... different strokes for different folks
 
Hata mimi mtandao huu sijawahi hujaribu.... ila kuna sifa mbaya nimewahi kuzisikia... anyway I never judge... different strokes for different folks

Viongozi wake wa kashfa au Mafisadi? Nijulishe mkuu mana Voda wao wanavuja siri zetu mkuu mara wanakampenia mara line bure kwa viongozi wa serikali ahh mie sasa sijui nisiwe na simu tuuuuuu
 
mh mpenzi pamoja na ujanja wangu na umakeke wangu wote kwenye mambo haya cna nilijualo wala sihitaji kujua. Kifupi pamoja na yote ila nina hofu ya mungu mwaya

Heee inamaana line ya tigo unaweza mpigia mungu na akapokea au una maana gani hapa....Wewe line gani unatumia? Ile inayovuja siri zetu za ndani wakati wa Kampeni au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom