Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Kama sio mpenzi wa burudani za bongo fleva kama mimi, huwezi kuelewa nini kinaongelewa hapa.aiseee, nini kinaendelea hapa??
Kama sio mpenzi wa burudani za bongo fleva kama mimi, huwezi kuelewa nini kinaongelewa hapa.aiseee, nini kinaendelea hapa??
Ubunifu au kacopy??Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
Ubunifu au kacopy??
Do you knw IP owner and IP user??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums