Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯%

Ukiujua mziki hupata shida kuona piracy au copy.

Tuendelee na vibes za "Mambo Matano' ya Jide

Dunia ndivyo ilivyo.

Kichwamoto
 
Ckuiz Ni kawaida Sana wasaniii kuibiana ideas, Lina apotezee tu Wala asimind
 
Nyimbo za wizi zipo nyingi sana bongo,kuanzia melody, lyrics, maudhui, Video, sema ndo hivyo tu ukianzisha hiyo topic au special thread ya nyimbo za wizi utaonekana hater. Mfano
Whozu Ft. Marioo – Mungu Baba tusamehe tumelewa = church heathen ya shaggy. Sasa hivi ni mwendo wa kuiga tu iwe za hapa hapa bongo,za nigeria na hata U.S.
 
Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯%

Ukiujua mziki hupata shida kuona piracy au copy.

Tuendelee na vibes za "Mambo Matano' ya Jide

Dunia ndivyo ilivyo.

Kichwamoto
Dah.mkuu...!!

Roho mbaya tu!😏
 
Nadhani hapa jambo kubwa ni Jide kumsema Bro Gadna mwanzo mwisho, mambo ya Lina hayahusiki hapa. Bro Gadna kakonda kweli na anahali mbaya kimwoneko, sijui ni pombe Kali au nini shida.
 
Back
Top Bottom