Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,118
- 732
Tatzo gharama kubwa mkuu
Ndio maana ikaitwa dawa kwani dawa inayotibu inakuwa ni dawa yenye gharama kutokana na upatikanaji wake na ununuzi wake ndio inayoifanya dawa kuwa ni ghali dawa hiyo haipatikani hapo Tanzania dawa inapatikana nje ughaibuni. Ukitaka dawa za hapo hapo Tanzania za bei rahisi nitafaute nipate kukupa.Tatzo gharama kubwa mkuu
Nyie wanawake huku mnafata nn hii maada ya kwetu kiumeninapita...............................
tehe tehe tehe ndio maana nikapita kimya kimyaNyie wanawake huku mnafata nn hii maada ya kwetu kiumeni
Tembelea maduka ya dawa za asili,utaukutaweka namba ya simu ili unitafutie uo unga unga wa udishu
Tapeli weweNdio maana ikaitwa dawa kwani dawa inayotibu inakuwa ni dawa yenye gharama kutokana na upatikanaji wake na ununuzi wake ndio inayoifanya dawa kuwa ni ghali dawa hiyo haipatikani hapo Tanzania dawa inapatikana nje ughaibuni. Ukitaka dawa za hapo hapo Tanzania za bei rahisi nitafaute nipate kukupa.
na matikiti kwa wingi pia usisahau!!!!!!!Nitaanza zoezi la kutafuna mbegu za mabonga aisee
Na shida na iyo dawa naipatajNdio maana ikaitwa dawa kwani dawa inayotibu inakuwa ni dawa yenye gharama kutokana na upatikanaji wake na ununuzi wake ndio inayoifanya dawa kuwa ni ghali dawa hiyo haipatikani hapo Tanzania dawa inapatikana nje ughaibuni. Ukitaka dawa za hapo hapo Tanzania za bei rahisi nitafaute nipate kukupa.
Ndio maana ikaitwa dawa kwani dawa inayotibu inakuwa ni dawa yenye gharama kutokana na upatikanaji wake na ununuzi wake ndio inayoifanya dawa kuwa ni ghali dawa hiyo haipatikani hapo Tanzania dawa inapatikana nje ughaibuni. Ukitaka dawa za hapo hapo Tanzania za bei rahisi nitafaute nipate kukupa.[/QUOTE
Ni kweli kabisaHii ndo jamii forum kila kitu kipo.