Liar girls resing in Dakar senegal refugees camp.

Hamza rajabu

New Member
Aug 9, 2012
1
0
kuna baadhi ya wa2 wahuni ,wanajitambulisha ktk forum mitandao mingine ya kijamii.wanadai wanadai wanatafta wenzi wanatumia email.wanasema 'I LOVE UR PROFILE,, Ni waongo na wezi KUWENI MAKINI
 
Ni wanaume halafu sema wanatumia picha za mademu bomba kwa matarajio ya kuwanasa wanaume wakware
 
Tatizo sio la kwao. Tatizo ni la hao wanaokubali kirahisi kuingia katika mahusiano na mtu wanayewasiliana kupitia mitandao ya kijamii. Yaani mtu unakosa second thought kwamba unaweza kuingizwa mjini?
Pamoja na kujua kuwa mtu anaweza akaweka information na picha zozote azitakazo katika profile yake bila wasomaji kugundua ukweli.
Tutumieni utashi wetu katika kufanya baadhi ya maamuzi jamani.
Just think twice
 
Hello dear,

My name is Miss Sandra Ngasi, i am 22 years of age, single and never married, i am from Darfur Sudan in Africa but presently residing in (UNHCR) United Nations High Commissioner for Refugees Dakar Senegal as result of the war that is going on in my country Sudan.
My late father Engineer Joseph Ngasi is the owner of (Jose minerals limited), in Darfur a city in Sudan my country. Also my late father was the deputy majority leader of the parliament before the rebels attacked our house one early morning and killed him with my mother in cold blood. It's only me that is alive now, i managed to make my way to a neighboring country Senegal with the help of United Nations peace keeping force where i am living now as a refugee.
Meanwhile, i am writing to you now in a Reverend father's computer. I would like to know more about you. Your likes and dislikes, your hobbies and what you are doing presently. Attached here is my picture, i will be hoping to hear from you and please send me one of your picture. In my next mail i have secret to tell you and i believe God will help us to achieve our goals, yours lovely one,
Miss Sandra Ngasi
kvGoJJ499510-02.jpg
 
Dah jaman mm bado kidogo tu wanitie mjini ila Namshukuru Mungu kwa kunifumbua macho sikuwah kutuma kiasi cha fedha alizohitaji ambazo alidai zitasaidia katika kutranfer her money in my account..na sasa anadai ameshasaidiwa na mtu mwengine kama shukuran anataka kunitumia hela kidogo kwa usumbufu nloupata..NISHAMPOTEZEA.
 
Aiseeee baba yangu hawa madada ni wahuni sana kuna jamaa zangu 2 walitumiwa sms bado kidogo wangeingia mkenge,, kwanza wanachotaka uwatumie ac namber yako wakuwekee pesa

ngoja nikate majani ya mbuzi
 
Mi pia ishantokea,niliombwa a/c number,nikamjibu kwamba nimemfungulia account mpya ivo kama anataka nimpe hiyo a/c number atupie mpunga,huo ndo ukawa mwisho wa mawasiliano yetu.Nadhani alifikiri nitampatia number ya account yangu ili ajichotee mpunga anavyotaka.
 
Hata mie ishanikuta! But kabla ya yote nliingia mtandaon kutafuta zile information alizonipa, nikagundua kuwa ni fake.
Nilichokifanya nkaanza kuwaonyesha kuwa mie ni 'MSWAHILI' tukaanza chatting tunazungushana kweli, wakadai nitume transfer cost nikawawekea story za kalumanzila wakanyoosha mkono! Huyo wakageuza eti wanitumie bank draft kulipia usumbufu wadai nitume dollar 180 kwa ajili ya gharama za kuituma! nikawaambia wadepost kwao then mie wanitumie cash money kwa AIRTEL money.
Wakasema haiwezekani.
 
Wakasema haiwezekani, nimewaambia wanitumie kwa gharama zao then nikidraw nitawarudishie cost watakazotumia!

Nimemaliza kuwajibu saa hii nasubiri wataniambia nn?
 
Hafu wengi sio wa Nigeria as we think. Wabongo kibao washaanza upuuzi huu.

Njaa noma.
 
Aiseeee baba yangu hawa madada ni wahuni sana kuna jamaa zangu 2 walitumiwa sms bado kidogo wangeingia mkenge,, kwanza wanachotaka uwatumie ac namber yako wakuwekee pesa

ngoja nikate majani ya mbuzi

Unaamini hawa viumbe ni wadada? Picha za kudownload? Message za kufoward? lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom