Level seat imepuuzwa

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
129
Kila nikipanda Coster naona baadhi ya Abiria Wana kalishwa watano watano ktk seat ya kukata watu wa 4 na kila kituo Kuna Askari wanatizama tu
nini kifanyike kudhibiti hili
 
Nunua uwe unasafiri na gari lako (one);
Waambie abiria wasipande yaliyojaa (two);
Wasafiri waahirishe safari (three)
 
Tatizo linaanzia kwa abiria kwanini mkae 5 sehem ya wanne?

Je abiria mko tayari kutopanda gari iliyojaa usubirie gari tupu?
 
Bora kwa coaster.
Hivi jana niliwa nakuja Tabora na gari fulan kubwa tu. Watu wanapangwa kama mishikaki na ni dar - tabora.

Biashara ngumu konda kila anaetokea na hela anamweka ndani wanakaa pale mbele kwenye boneti mpaka wanachoka halafu wanawaweka katikati
 
Kila nikipanda Coster naona baadhi ya Abiria Wana kalishwa watano watano ktk seat ya kukata watu wa 4 na kila kituo Kuna Askari wanatizama tu
nini kifanyike kudhibiti hili
Unataka level seat mkuu nenda Zanzibar, kule wako straight sana juu ya hilo ingawa saev idadi ya watu inaongezeka kila uchao hivyo kunakua na kaugumu sana
 
Siku izi baadhi ya abiria wanasimamishwa na traffic akitokea konda anawaambia wakae chini na wanakua wapole
 
Back
Top Bottom