NIKWELI MAANA UZI POA SANA HUU ...Iwe updated daily hii thread
Tunaanza rasmi leo tarehe 9/9/2016
Kila siku ina tukio lake kwenye historia ya dunia...nilitamani siku nyingi tuwe na kitu kama hiki kama ilivyo kwa redio Tumaini...kule photos kuna kitu kama hiki kinatukumbusha mengi sana...lakini kwenye habari za kawaida hatuna
Nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuweka kila siku matukio yaliyotokea tarehe na mwezi kama leo
1:9/9/1990 ndio ilikuwa siku ambayo alipinduliwa na kuuwawa kikatili aliyekuwa rais wa Liberia marehemu Samuel Doe
Matukio mengine ya tarehe ya leo -kumbukumbu ya kifo cha Mao zhe Dong rais wa china mwaka 1976
-Kuzaliwa kwa James Siang'a raia wa Kenya aliyekuwa kocha maarufu wa Simba
☆☆☆Kesho nitaendelea nakaribisha na wengine pia wanaopenda historia waweke matukio wanayoyajua
Mwanangu akiwa kajibebea mwanaye siku ya mahafali yake Ardhi University, ilikuwa furaha sana kwanguBuji maekezo tafadhali
Amina Kaka MkubwaMungu aubariki uzao wako kaka