Leo ni siku ya bahati kwako!!!!!!!

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,788
1,302
Wadau kama kuna kitu kinachonikera ni hii tabia iliyoanza ya baadhi ya mitandao ya simu kutulazimisha kusikiliza matangazo yao. Yaani kwa upande wangu naona kama imekuwa ikiniongezea stress na kupoteza muda bila sababu: we fikiria unampigia mtu simu muhimu na ya haraka unawekewa tangozo sijui.. Leo ni siku ya bahati kwako?,.....mambo kibao halafu mwisho unaambiwa namba unayopiga haipatikani. yaani inaboa coz unakuwa unasubiria muda unaenda like 2mins then wanakuambia namba haipatikani. this is too much for me. nashauri muanche. Tume ya kutetea walaji na TCRA mtusaidie. Sijahitaji kusikia sijui hamia wapi siju!!!...wala nini.. nataka kama namba haipatika niambiwe then tangazo ndio lifuatie kuliko kutanguliza tangazo then namba haipatikani..
 
Back
Top Bottom