Leo ndoa ya Dk. Slaa

junior alipendeza sana katika kushuhudia ndoa aka kubariki kati ya wanaotarajiwa kuwa wazazi wake padri slaa na dada yetu software developer wa chama, tuwaunge mkono wadau kuishi na kimada mtu mzima haipendezi. hongera cdm
 
Wakuu msitetee na kuingiza mambo ya udini,mnaofanya hivyo mko desperate kulinda maslahi tu,lakini hamtafanikiwa.Kama unaikashifu dini ama imani ya member mwenzako kwa kutumia issue za kuifanya imani yako ndo ionekane bora kuliko za wenzako ndo mwanzo wa kudiscuss issue ambazo hazina msaada kwa taifa.

Wenye imani moja kuwaita wenzao wazinifu si sahihi kwasababu imani za watu ni tofauti,mtu ni mzinifu kwa kutumia vigezo vya dini yako.Hata hivyo mwingine anaweza kutumia vigezo vya dini yake kukuita na wewe "mzinifu"

Kwamfano mtu kama haamini uislam,basi anaweza kuchukulia mke zaidi ya mmoja kuwa uzinifu etc.Nashangazwa sana na watu ambao pia wanaingilia imani binafsi za watu na kwajudge against them.Kama tunategemea kupata viongozi wa Tanzania,udini unahusika vipi?ama falsafa ya serikali haina dini ni danganya toto
Nina imani kabisa kuwa wenye kuingiza dini kwenye mijadala ndo mafisadi,hilo naliamini toka kitambo na imani yangu haitayumba.

Nakubaliana na wewe 100%.
 
Siamini kama Rais mtarajiwa wa M4Chagas ameoa wakati wazanzibar na watanganyika wakiwa na uchungu wa kufiliwa na jamaa zao! what a president, hivi alishindwa hata kusubirisha ?! lakini hata hivo tunaandika historia mpya ya kutoka katika uzinifu na kuelekea kula tundi kwa kuhalalisha !

Niambie Mkomatako! Hayo mambo sio mazuri, aheri uliamua kukoma. Hongera sana!
 
Fahamu kuwa ndio zimeingia TZ hivyo, na hii ndio tumeanza kuishuhudia. Josephine anajiatach kwa Slaa kutokana na political na economical reasons. Sidhani hapo kama kuna marriage inayotokana love!

Nitokeje? Karibu umeshatoka na Dr. Slaa kwa leo ila hayakuhusu
 
Ndoa ya Dr.Slaa ni mambo yake binafsi na si kuwadi wa CCM Rozi Kamili wala CCM wenye haki ya kuiingilia.
 
Back
Top Bottom