Leo ndoa ya Dk. Slaa

wadau nina swali, je inaruhusiwa katika waroma kukaa na mwanamke kama kimada hadi mkazaa kisha kuoana? Je hiyo inaitwa ndoa kisheria?
 
Mkuu umekosea, hii inaitwa marriage of convenience

hahahahah naona una lako jambo......hizo zipo nchi kama USA, UK nk.mfano unataka uraia wa nchi fulani unafanya hivyo baada ya kipindi cha mkataba mnaachana.
 
Taarifa hizo kama ni muhusika utazipata kwani vikao vya harusi hio huhudhurii na kama si mhusika yanini? na inakusaidia nini?
 
Kama hujapewa mwaliko huikuhusu!.

Hapa hatuna Chereko Chereko. Kaangalie TBCCM.
 
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!
images.jpeg

Karibu Mkuu kwenye hili pilau lakini zipo soda badala ya juice zenu za miwa
 
hahahahah naona una lako jambo......hizo zipo nchi kama USA, UK nk.mfano unataka uraia wa nchi fulani unafanya hivyo baada ya kipindi cha mkataba mnaachana.
Fahamu kuwa ndio zimeingia TZ hivyo, na hii ndio tumeanza kuishuhudia. Josephine anajiatach kwa Slaa kutokana na political na economical reasons. Sidhani hapo kama kuna marriage inayotokana love!
 
Haka kazee kalikuwa kanasema kalinyanyaswa na mwanamke wa kwanza sasa huyu wa sasa ndo atamnyonga kabisa.
 
WANAOJADILI PERSONAL ISSUES NI MABWEGE WAJIULIZE JK ANA VIMADA WANGAPI,KIMARA,MWANZA,MOSHI VYUO VIKUU;ANYWAY UKIBISHANA NA KICHAA NAWE UNAKUWA CHIZI.
:lalala:
 
Slaa anaoa? Haya Hongera mzee lakini kuwa mvumilivu maana maisha ya ndoa yana mikiki mingi sana. Ukishindwana na Josephine watasema umezoea una hila. Ndoa ndoana huwezi kuchomoka ukishaingia especially with your reputation na position kwenye society madame anakuwa na nguvu sana hata akifanya nini inabidi uvumilie tu kwa sababu za kisiasa.:happy:
 
Siamini kama Rais mtarajiwa wa M4Chagas ameoa wakati wazanzibar na watanganyika wakiwa na uchungu wa kufiliwa na jamaa zao! what a president, hivi alishindwa hata kusubirisha ?! lakini hata hivo tunaandika historia mpya ya kutoka katika uzinifu na kuelekea kula tundi kwa kuhalalisha !
 
"Sisi binadamu tumepewa vichwa kwa ajili ya kufikiri na sio kufugia nywele" AG Werema.
Unavyojitahidi kukalili badala kufikiri, hivi nyie wa CCM nukuu mnatunzia kwenye nywele?.
Nikichukulia muonekano wa avatar yako Mkuu.
avatar34266_4.gif
 
Back
Top Bottom