Lengo la kagame na mseveni ni moja kwa tanzania.

Status
Not open for further replies.

ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
23
Watanzania wenzagu, mabibi na mabwana asalaam alaikum, Bwana Mungu asifiwe.

Paul Kagame na Yowel Museveni ni watutsi (Hamitics) wanaoamini kuwa wao ndio bora mbele za Mungu na wao ni super race (kizazi bora) tuliosalia wabantu kuonekana machoni pao inferior race (kizazi cha ovyo). Hivyo basi ni imani yao kuwa si jambo jema kwa kizazi cha ovyo kuendelea kuneemeka na neema tulizopewa na Mwenyezi Mungu, Ardhi nzuri, milima ya kuvutia, madini ya kila aina, malisho ya mifugo bora, mito maziwa na bahari. Lengo lao linakuwa kuhakikisha kwa njia yoyote ile iwe kumwaga damu yaani vita au vinginevyo wanatutawala na kutanua himaya ya wahima (HIMA EMPIRE).

Ninamjua vizuri Mseveni Yowel Kaguta, kipindi cha vita ya Kagera alikuwa upande wetu tukipambana dhidi ya Idi Amini Dada. Vitani alitumia nick name ya MUYOKA yaani JOKA kifupi cha Museven Yowel Kaguta na wakati mwingine alijibadirisha nick names kulingana na sehemu ya mapambano. Ilifikia wakati nikiwa na wanajeshi wenzangu wa Tanzania tume- take control uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe na ushindi wa kumuondoa Idi Amini umekaribia, makamanda tulianza kujadili ni nani anafaa kuwa rais wa Uganda na ni akina nani wanafaa kuwa wasaidizi wake. Makamanda watiifu kwa kikundi cha Mseveni walimpigia debe lakini sisi watz na jumuiya ya kimataifa tukamuona bado ni cha mtoto kuwa TOP MANYOTA tukamshauri atachukua nafasi fulani nyeti tena ya juu akagoma.

Alichukizwa na hali hiyo akatugeuka na kuanza kutushambulia wanajeshi wa Tanzania na kuangamiza walio wengi sana. Viongozi wetu wa kijeshi ngazi za juu komandi ya mwisho wakatuamuru makomando wote kuwa Museveni amekuwa adui na akionekana popote apatikane akiwa hai au mfu. Huyu jamaa kweli nyoka tulikuwa tunafanya Commando Mission tunaona gari aina ya Land Rover 109 anayoitumia inakatiza eneo la vita akiwemo tunaimwagia risasi nyingi na kuilipua anatoweka katika mazingira ya kutatanisha. Tulimaliza Vita tukarejea Tanzania akiwa amejificha misitu ya KONGO na akitembelea kwa baba yake na Paul Kagame Mzee Rukwavu Kagame ( rukwavu kinyarwanda maana yake sungura) huko Rwanda.

Mikakati yao ni aina moja, wanapandikiza watutsi ukabila wa nchi fulani fulani na kujiita wagoma, wakivu, wasukuma, waha, wahaya, wachaga na kujiita wazanaki lengo kuu ikiwa kujificha Unyarwanda wao (ututsi) ili kutawala sekta nyeti nchi za jirani ili mwisho wa siku mapinduzi yafanyike kiulaini. Hebu jiulize Tanzania usalama wetu uko wapi? Mkoani Kagera watutsi wanyarwanda wanajiita wahaya,wanyambo, wahangaza. Mkoani Singida wamejipachika makabila ya huko wakati huo huo Dar na Kigoma wanajiita waha. Iko siku wanatugeuka! Take care.

Siwezi kutoa siri ya jeshi hata siku moja ila wanasiasa nawatahadharisheni rushwa imekuwa ndiyo mbinu ya kuingia madarakani na ninyi ndio mmekuwa mkiamua mambo ya nchi hivyo kesho na kesho kutwa kikinuka mnatuamuru tuingie vitani. Halmashauri za Kagera wilaya zote ngazi nyeti wameshika watutsi kwa rushwa wanafedha kutoka kwa Kagame na Mseveni kuandaa mpango maalum. Hali kadhalika kwa mikoa ya Kigoma,Tabora, Mara na Katavi ni watutsi ndio madiwani, wabunge, madaktari mahospitalini, wenyeviti wa Halmashauri nk mpango maalum wa Rwanda na Uganda.

Si ngazi hizo tu mpaka mawaziri ni watutsi, iko siku kitanuka kisa wanyarwanda waliojipachika utanzania mkawaruhusu kuongoza wamefanya mipango kuruhusu majeshi na siraha za Rwanda na Uganda kuingia nchini na kuteka maeneo muhimu raia a Tz wakazuiliwa kutoka au kuingia eneo lililotekwa wakatumika kama (HUMAN SHIELD) ngao ya binadamu itakuwa ngumu kuwanasua na kulikomboa eneo husika.

USHAURI: Wanasiasa acheni longolongo, vita si lelemama (sio kwamba naogopa wakianzisha tupo fiti na mziki watauona) ila acheni ufisadi unaoangusha uchumi wa nchi ili vita ikitokea uchumi ukiwa juu inakuwa rahisi kuliko uchumi ukiwa kama hivi ulivyo sasa na oparesheni maalum ya uraia halisi ifanyike bila kuangalia sura taaluma au utajiri wa mtu.
 
Tulishasemaga haya hapa watu wwakatutukana! CCM na serikali yake vikiendelea kutawala hii nchi haki ya Mungu Kagame na M7 watakuja kuwafanyia watz kitu mbaya.

Tatizo kubwa walilonalo ccm ni uongozi na maadili mabovu.

Wewe ngoja, wanaanzaga taratibu, sasa hivi wameshafanya alliance na wakikuyu.

Nasikia nothern Uganda nao wanataka kujitenga wajiunge na south Sudan tu, just to get rid of these M7 and Kagame.
 
kumbe tupo wengi tunaoliona hili janga! vipi mkuu hii kasi ya kuwatimua watusi inaridhisha? tuiiunge mkono serikali katika hili! tuache kuwaamini, kuwahifadhi na kuwadhamini wageni. Wengi hawana nia njema na Watanzania.
 
Watanzania inabidi muwe macho na hawa wahutu wenye uchu wa damu za watusi,wanataka kuwaingiza katika matatizo makubwa yani janga! ili waweze kuingia madarakani,mwenye macho haambiwi tazamo,naamini yeyeyote yule anaye fikiria kupeleka vita kigali atakua mgojwa wa hakili kwani hatafaulu,na badala yake nikuwatia watanzania katika maisha ya ukimbizi ambayo hawakuyazoea,please epukaneni na hizo siasa za wahutu kama huyu mtoa maada.
 
Dont worry mkuu. Vijana wa JW wako fiti. Toka Alhamisi jioni wana wanyeshea artillery M23 kule GOMA ile mbaya.

Source: BBC NEWS.
 
Dont worry mkuu.Vijana wa JW wako fiti. Toka Alhamisi jioni wana wanyeshea artillery M23 kule GOMA ile mbaya. Source:BBC NEWS.

ni kweli jw,sa na malawi wameshaanza kufanya vitu vyao majambazi ya m23 yanaomba mazungumzo yaandelee huko uganda kwa pk malamiko mengi mabomu yaangukia rwanda!!!!!ngoja tuone!!!
 
watanzania inabidi muwe macho na hawa wahutu wenye uchu wa damu za watusi,wanataka kuwaingiza katika matatizo makubwa yani janga! Ili waweze kuingia madarakani,mwenye macho haambiwi tazamo,naamini yeyeyote yule anaye fikiria kupeleka vita kigali atakua mgojwa wa hakili kwani hatafaulu,na badala yake nikuwatia watanzania katika maisha ya ukimbizi ambayo hawakuyazoea,please epukaneni na hizo siasa za wahutu kama huyu mtoa maada.

jema lajiuza na baya lajitembeza, madhara ya watusi yapo wazi kwa utaifa wa tanzania.
 
Siwezi kutoa siri ya jeshi hata siku moja ila wanasiasa nawatahadharisheni rushwa imekuwa ndiyo mbinu ya kuingia madarakani na ninyi ndio mmekuwa mkiamua mambo ya nchi hivyo kesho na kesho kutwa kikinuka mnatuamuru tuingie vitani. Halmashauri za Kagera wilaya zote ngazi nyeti wameshika watutsi kwa rushwa wanafedha kutoka kwa Kagame na Mseveni kuandaa mpango maalum. Hali kadhalika kwa mikoa ya Kigoma,Tabora, Mara na Katavi ni watutsi ndio madiwani, wabunge, madaktari mahospitalini, wenyeviti wa Halmashauri nk mpango maalum wa Rwanda na Uganda.

Si ngazi hizo tu mpaka mawaziri ni watutsi, iko siku kitanuka kisa wanyarwanda waliojipachika utanzania mkawaruhusu kuongoza wamefanya mipango kuruhusu majeshi na siraha za Rwanda na Uganda kuingia nchini na kuteka maeneo muhimu raia a Tz wakazuiliwa kutoka au kuingia eneo lililotekwa wakatumika kama (HUMAN SHIELD) ngao ya binadamu itakuwa ngumu kuwanasua na kulikomboa eneo husika.

Hapo kwenye red nadhani umekurupuka,kwani hakuna ukweli juu ya hilo.
 
Watanzania inabidi muwe macho na hawa wahutu wenye uchu wa damu za watusi,wanataka kuwaingiza katika matatizo makubwa yani janga! ili waweze kuingia madarakani,mwenye macho haambiwi tazamo,naamini yeyeyote yule anaye fikiria kupeleka vita kigali atakua mgojwa wa hakili kwani hatafaulu,na badala yake nikuwatia watanzania katika maisha ya ukimbizi ambayo hawakuyazoea,please epukaneni na hizo siasa za wahutu kama huyu mtoa maada.

Nakusamehe bure kwa kuwa hata kiswahili hukijui vizuri, hapa nimezungumzia lengo la ninyi watutsi na imani yenu kwa wabantu. Ulipaswa kukanusha, kukubali au kukalia soft finger (dole laini) kimya. Hapo juu hakuna mahali ninaonesha kutaka kupeleka vita Kigali, ila chini kabisa utaona nikijipanga kitanzania acha zenu za kihutu na kitutsi na kuelekeza kikamanda huku nikitahadharisha kwa kusema anzisheni muone kazi. Na kuhusu kepeleka vita Rwanda sio ishu yetu wala mpango wetu uwe mwelewa anzisheni ninyi muone. Na kusema kwamba mkianzisha hatuwezi kuingia Kigali na kufaulu tusiandikie mate wakati wino tele anzisheni tuzungumze kwa vitendo tuone kama kweli Kigali haiingiliki.
 
.
Coward TUTSI!!!
Yaani tuzalishe wakimbizi kwa kuiteka kigali????
Labda kwa kipindi hiki mngejitoa tuu humu JF, jukwaa la wazalendo kwani mnaweza kuanZa kuikimbia nchi yenu kabka hatujafika.
Stay tuned coward. Tunaanzia CONGO
 
Tulishasemaga haya hapa watu wwakatutukana! CCM na serikali yake vikiendelea kutawala hii nchi haki ya Mungu Kagame na M7 watakuja kuwafanyia watz kitu mbaya.

Tatizo kubwa walilonalo ccm ni uongozi na maadili mabovu.

Wewe ngoja, wanaanzaga taratibu, sasa hivi wameshafanya alliance na wakikuyu.

Nasikia nothern Uganda nao wanataka kujitenga wajiunge na south Sudan tu, just to get rid of these M7 and Kagame.
Camon!!!!!
National interest VS partisanship. Swala la gaqa watutsi linavuka mipaka ta kichama ndugu. 2015 bado ni mbali ika kwa sasa tuungane kuwadhibiti hawa MAKABURU weusi. ON THIS, TUWE KAMA BEN SAANANE, HANA KAULI MBADALA ZAIDI YA UTANZANIA
 
Nakusamehe bure kwa kuwa hata kiswahili hukijui vizuri, hapa nimezungumzia lengo la ninyi watutsi na imani yenu kwa wabantu. Ulipaswa kukanusha, kukubali au kukalia soft finger (dole laini) kimya. Hapo juu hakuna mahali ninaonesha kutaka kupeleka vita Kigali, ila chini kabisa utaona nikijipanga kitanzania acha zenu za kihutu na kitutsi na kuelekeza kikamanda huku nikitahadharisha kwa kusema anzisheni muone kazi. Na kuhusu kepeleka vita Rwanda sio ishu yetu wala mpango wetu uwe mwelewa anzisheni ninyi muone. Na kusema kwamba mkianzisha hatuwezi kuingia Kigali na kufaulu tusiandikie mate wakati wino tele anzisheni tuzungumze kwa vitendo tuone kama kweli Kigali haiingiliki.

Wajaribu waone motowake yena mnatupandisha mzuka itakuwa safi kabisa tutaweka rais tumtakae na himaya kubwa ya ulinzi kwa maslahi yetu. Watuts wanjidangaya sana kuona JW limekaa kimya kimya hee waulizeni makaburu watawap ishu zetu
 
Nakusamehe bure kwa kuwa hata kiswahili hukijui vizuri, hapa nimezungumzia lengo la ninyi watutsi na imani yenu kwa wabantu. Ulipaswa kukanusha, kukubali au kukalia soft finger (dole laini) kimya. Hapo juu hakuna mahali ninaonesha kutaka kupeleka vita Kigali, ila chini kabisa utaona nikijipanga kitanzania acha zenu za kihutu na kitutsi na kuelekeza kikamanda huku nikitahadharisha kwa kusema anzisheni muone kazi. Na kuhusu kepeleka vita Rwanda sio ishu yetu wala mpango wetu uwe mwelewa anzisheni ninyi muone. Na kusema kwamba mkianzisha hatuwezi kuingia Kigali na kufaulu tusiandikie mate wakati wino tele anzisheni tuzungumze kwa vitendo tuone kama kweli Kigali haiingiliki.

Wala sihitaji msamaha kutoka kwako,lakini nyie wahutu vipi? mbona kelele sana,mbona mtusi alimaliza miaka 30 ukimbizini? Lakini nyie miaka 10 tu mnaanza kupiga kelele,hebu tulia usikie jinsi ukimbizi unavyo uma,lakini bahati yenu pk kawapatia maisha mazuri huku,hata wewe unaweza kurudi kwen
 
We kaa la chuma kweli,hiyo roho mbaya yako dhidi ya watusi haita wafikisha popote bora urudi kwenu rwanda ukaijenge nchi yako,acha kupandikiza sumu yako kwa watanzania,watanzania ni watu poa kabisa,tatizo ni nyie mihutu iliyoua watu na kukimbilia benako ndio inapiga makelele dhidi ya watusi humu jf.
 
Watanzania inabidi muwe macho na hawa wahutu wenye uchu wa damu za watusi,wanataka kuwaingiza katika matatizo makubwa yani janga! ili waweze kuingia madarakani,mwenye macho haambiwi tazamo,naamini yeyeyote yule anaye fikiria kupeleka vita kigali atakua mgojwa wa hakili kwani hatafaulu,na badala yake nikuwatia watanzania katika maisha ya ukimbizi ambayo hawakuyazoea,please epukaneni na hizo siasa za wahutu kama huyu mtoa maada.

kajifunze kiswahili kisha urudi
 
Hadi mwili wote umekufa ganzi ee Mungu tuepushe na hili janga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom