kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,426
- 7,213
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchini DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.