Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,737
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23.

Kwenye Barua yake Rwanda inasema Jeshi Hilo sio neutral Bali ni Vikosi vya kwenda akusaidoa DRC na Burundi kufanikisha malengo Yao ya Kuivamia Rwanda na pia Kuwafuta Wakonhomani wenye Asili ya Kituwi.
Screenshot_20240217-074248.jpg

Ikumbukwe wiki za karibuni M23 imeongeza harakati zake za Vita Kwa kutumia silaha Kali.
20240217_060201.jpg
20240217_060204.jpg

Swali
Nani alimpa Kagame kazi ya kuwalinda Watutsi wa DRC? Je hao ni Raia wa Rwanda au wa DRC?

Pili nini Lengo la Kagame kuwasaidia Watutsi wa DRC?

My Take
Bila kubadili Utawala pale Kigali hakuna amani itapatika huko Eastern DRC.👇👇

View: https://twitter.com/NewTimesRwanda/status/1758477584118026499?t=IXDjigoBEs8ynkhK3utFIw&s=19
 
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23.

Kwenye Barua yake Rwanda inasema Jeshi Hilo sio neutral Bali ni Vikosi vya kwenda akusaidoa DRC na Burundi kufanikisha malengo Yao ya Kuivamia Rwanda na pia Kuwafuta Wakonhomani wenye Asili ya Kituwi.
View attachment 2906485

Ikumbukwe wiki za karibuni M23 imeongeza harakati zake za Vita Kwa kutumia silaha Kali.
View attachment 2906496View attachment 2906497

Utawala wa Rwanda ukibadilika itakuwa mwanzo wa kupatikana kwa amani ya Drc mashariki.
 
Kwa mimi ninavyo ona, kwakuwa Rwanda ni nchi ndogo, haina rasilimali kihivyo na wao wanataka utajiri au kuinua uchumi wa nchi yao kitu wameamua ni kuwa kibaraka wa ufaransa, uingereza na wamarekani wako tayari jeshi lao kutumia kwenda nchi mbalimbali kupigana na kuiba rasilimali kuleta rwanda. Na hii ina chagizwa sana na kiongozi wa nchi maana yeye ndiye anaye toa muelekeo wa nini kifanyike kwenye nchi husika, Ni dhahiri Rwanda ni kirusi kipya Afrika Mashariki, huyu anaweza leta vita ukanda huu maana ana jiamini kuwa ana support ya silaha za vita toka kwa mabepari, anaweza tumika kupigana au kujaribu hata Tanzania,uganda au burundi kama anavyo fanya huko Congo, yuko tayari kwa lolote sababu tuu ana support nyuma yake.
Wazungu ndivyo walivyo wana angalia nani ana kiherehere na rahisi kusikiliza mambo yao basi kinachofuata ni chokochoko mwisho wa siku ni vita.
Kweli miaka nenda rudi vita Congo haiishi sababu tuu wanapata ulaji huku watu wana teseka kila uchwao.
Hii UN ni kalaga bao hakuna kitu usikute na wao wana support haya mapigano congo huko.
 
Rasilimali zipi ambazo hawana? Na Rasilimali gani zinahitajika Ili Kuinua Nchi kiuchumi?
 
Rwanda imeandika Barua kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikipinga upelekwaji wa Jeshi la SADC la kulinda amani kutoka Nchi za Afrika Kusini,Tanzania na Malawi kuwafurusha M23.

Kwenye Barua yake Rwanda inasema Jeshi Hilo sio neutral Bali ni Vikosi vya kwenda akusaidoa DRC na Burundi kufanikisha malengo Yao ya Kuivamia Rwanda na pia Kuwafuta Wakonhomani wenye Asili ya Kituwi.
View attachment 2906485

Ikumbukwe wiki za karibuni M23 imeongeza harakati zake za Vita Kwa kutumia silaha Kali.
View attachment 2906496View attachment 2906497

Swali
Nani alimpa Kagame kazi ya kuwalinda Watutsi wa DRC? Je hao ni Raia wa Rwanda au wa DRC?

Pili nini Lengo la Kagame kuwasaidia Watutsi wa DRC?

My Take
Bila kubadili Utawala pale Kigali hakuna amani itapatika huko Eastern DRC.👇👇

View: https://twitter.com/NewTimesRwanda/status/1758477584118026499?t=IXDjigoBEs8ynkhK3utFIw&s=19

Inashangaza Raia wa DRC wenye asili ya KiTutsi wanakuwa issue kubwa ya Rwanda as if Rwanda niya Watutsi tu, kwani hakuna waHutu Rwanda? Mbona waHutu wa Burundi hajishughulishi nao?
 
Wanazo ila siyo nyingi kama Tanzania au Congo. Nchi yenyewe ndogo utafananisha vipi rasilimali zake na nchi kubwa kama Nyingine ukanda huu wa afrika Mashariki.
Rasilimali yoyote yaweza inua uchumi wa nchi ishu ni TAMAAA ya rasilimali nyingine kwa wenzako.

Back
Top Bottom