Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

Tunapotoa hoja zetu tuwe makini, tusifanye hivyo eti kwa sababu tunasukumwa na hisia zaidi, toa hoja yako na simamia kile unacho amini bila lugha ya matusi/kejeli, na vilevile kutofautiana hoja ni jambo la kawaida ktk mijadala, tujitahidi tusitumie maneno yasiofaa, hii ni kuishusha hadhi JF na wana JF kwa ujumla
CCM ni malimbukeni wa kutupa,ukiona kijana anashabikia CCM ujue utotoni alinyonya mboloo ya baba yake
 
mkuu wa magamba anabadilisha ndege juu kwa juu anajua huku nyumbani pachungu (hana ajualo zaidi ya posho)Gazeti Uhuru wana andika uwezo wao wakufikiria watz bado ni wajinga ...............Hilo wamenoa ....sku zao zinaheabika........Nebkadneza.....&Daniel
 
Mene...mene tekeli &peres..........menemene...........menemene.......jamani ......tekeli .......&peres.......umekwisha kupimwa Ufalme wa magamba
 
source UHURU. Duuh! hilo gazeti hata nipewe bure sichukui, kwana cjui kama yanauzwa nowdays mana naona tu yanagawiwa ofisi za sirikali.
 
lema acha ujinga wako unachafua chama, yaani unakili kuzuia maiti wasizikwe mpuuzi sana wewe pia uhusiano wako na udom utakumaliza kisiasa, fanyia wapiga kura wako kazi za maendeleo, mbowe wala slaa hawawezi kumkemea kwami wanataka apotee wao wakidhani wanampandisha.
dada mimba yako inakusumbua?
 
Wasiomkubali ni mafisadi na familia zao. Lema ni aina viongozi tunaowataka katika nchi hii iliyojaa ufisadi. Wanaomwombea Lema kushindwa katika harakati zake wameshindwa wao kwani wanaenda kinyume na haja ya watanzania. Lema tuko pamoja pigana pamoja nasi . Hatuhitaji porojo za Uhuru na jambo leo. Ushindi wako ushindi wetu. Hapa JF watoto wa wakubwa wanahangaika na wewe kwani wewe ni hatari kwa maslahi yao.
 
Sijawahi kuona mtu akinunua gazeti la uhuru zaidi ya kuona kwenye kipindi cha magazeti kwenye TV
 
ni ukweli kabisa habari hiyo hata km imetoka kwenye source isiyoaminika.lema ni mvuta bangi tena wa mitaani hilo hata yy mwenyewe hawezi kupinga.nakumbuka wakati wa kupitisha muswada wa sheria aliwachukua wanafunzi wa udom wa ng'ong'ona na ssh and humanity akawaambia waseme wao ni wananchi na cyo wanafunzi.ukumbi wa msekwa unaingiza maximum watu 500 lakini yeye kwasababu lengo lake ni fujo aliwabeba wanafunzi kwenye magari wapatao hadi 800 hapo hapo uliwambia waje cku hiyo hiyo moja ili hali bunge lilitoa cku takribani nne kwa wananchi kujadili muswada.kilichofata ni fujo km alivyowaagiza na km kawaida ffu lazima waende kufanya wajibu wao.Basi wanafunzi walianza kupingwa mabomu na wengi wao waliumia vibaya.binafsi tukiwa tupo nje ya ukumbi wa msekwa nilimsikia lema anasema ss tumeshafanikiwa huku akitabasamu na wabunge wenzake wa cdm wa viti maalum.hii inatufundisha kwamba mbunge huyu hana utu na hafahamu wanafunzi wanaathirika vp kwa maandamano.Ndiyo maana degree ya udom inadharauliwa jamani kwasababu lema ana diproma tu tena ya kuungaunga anawashawishi upumbavu wanafunzi wa udom ambao watapata degree.jamani lazima tudharauliwe me nayasema haya kwa uchungu mana wanaudom wengi ambao wanaaminika wanatumiwa na wanasiasa.JAMANI KM UNAMPENDA MWANAO USIMLETE UDOM NI SIASA TU HAKUNA ELIMU.kila mwanafunzi wa udom ss hv anataka kugombea ubunge as if kila mtu anasomea siasa pale. Lol inaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Tusiwaogope hawo mafisadi.Maandamano ndio njia ya kudai haki.Miaka 50 sasa tangu tupate uhuru maendeleo hatuyaoni.Watanzania tuamkeni tukadai haki zetu.Tutawaogopa hawo Magamba na propaganda zao mpaka lini?Hii ni haki yetu.
 
UHURU limeandika ukweli kuhusu Lema ambao hauandikwi kwenye magazeti yanayoshabikia CHADEMA. Ukweli ni kwamba Lema ni mhuni tu, na kama huyu ndio aina ya viongozi wa kuikomboa nchi hii basi tumekwisha.
 
Wewe ni limbwikene. Hawo magamba wamekuyima maendeleo wewe bado unawatetea.Amani itavunjwa na ccm,hawataki tudai haki zetu.Cdm hawamiliki chombo chocho cha dola.wewe ni limbukeni mkubwa,hivi utaelimika lini?Nafiri na wewe ufisadi kama sivyo,baba yako ndio wale wanaoomba wabunge wa ccm hela za posho milangoni kule bungeni.
 
HTML:
heri mmeliona hilo huyu jamaa ni MUNGIKI amezoea fujo anataka nchi yetu iwekama somalia. Nashindwa kuelewa huyu mungiki akipewa nchi itakuwaje nadhani atakuwa dictetor mbaya kuliko Adolf hitler.Nadhani CHADEMA wanasafari ndefu sana ya kuchukua nchi hii na mavurugu yao.Shida yao inchi isitawalike tumewashtukiaaa.!

Ni nani walioliona hilo? CCM na uhuru?
 
Hakua mbunge wa CDM hata mmoja mwenye mawzo kama yako, na uthibitisho wa hilo ni CCM kukubali madai ya CDM kuwa suala la Meya Arusha lijadiliwe. Big Up Lema!!!!
 
source UHURU. Duuh! hilo gazeti hata nipewe bure sichukui, kwana cjui kama yanauzwa nowdays mana naona tu yanagawiwa ofisi za sirikali.
kweli, hili nalo neno. Hivi kuna yeyote anayefahamu wanachapisha nakala ngapi kwa siku atupe data!?
 
Back
Top Bottom