Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

lema acha ujinga wako unachafua chama, yaani unakili kuzuia maiti wasizikwe mpuuzi sana wewe pia uhusiano wako na udom utakumaliza kisiasa, fanyia wapiga kura wako kazi za maendeleo, mbowe wala slaa hawawezi kumkemea kwami wanataka apotee wao wakidhani wanampandisha.
 

Source: UHURU
[/QUOTE]
Nilijua tu! Kama vipi wamtaje na huyo mbunge aliyeongea. Vinginevyo hii habari wameipika tu.
 
Najua watu wasiotaka kuambiwa ukweli watakataa lakini huu ndio ukweli wenyewe. Wote wanaweza kuhamasisha maandamano ila wanachozidiana kwa hili ni jee hayo maandamano yana tija yoyote au ni kujitafutia umaarufu?

Huwezi kuona Tija kwa Sababu Yanatishia Ulaji wako
 
lema acha ujinga wako unachafua chama, yaani unakili kuzuia maiti wasizikwe mpuuzi sana wewe pia uhusiano wako na udom utakumaliza kisiasa, fanyia wapiga kura wako kazi za maendeleo, mbowe wala slaa hawawezi kumkemea kwami wanataka apotee wao wakidhani wanampandisha.
wewe huna tofauti na condom iliyo tumika..kama unauwezo wa kufikiri hebu firia kwanini alizuia wasizikwe na yeye ni nani mpaka azuie, ukipata jibu tutaanzia kujadiri vingine kaakimya..
 
heri mmeliona hilo huyu jamaa ni MUNGIKI amezoea fujo anataka nchi yetu iwekama somalia. Nashindwa kuelewa huyu mungiki akipewa nchi itakuwaje nadhani atakuwa dictetor mbaya kuliko Adolf hitler.Nadhani CHADEMA wanasafari ndefu sana ya kuchukua nchi hii na mavurugu yao.Shida yao inchi isitawalike tumewashtukiaaa.!
akil mgando,Lema ana jeshi?mmetumwa kumchafua kamanda nenden mkajipange upya.kashindwa Mizengwe Pindua na Anua Makida sembuse nyie vimeo!Viva Lema udumu daima komesha wanafik wewe upo juu
 
Hizi ni hoja za mtu aliyejivua ufahamu. kwa mtu mwenye akili neno "tutaendelea kuandamana usiku na mchana" haina tatizo kabisa. wapinga maendeleo watamuona lema kakosea ila nguvu ya umma iko palepale.
hakuna cha mbunge wa cdm aliyelalamika. msemaji huyu ni mfamaji nape nnauye anatapatapa,hahahaha!!!
 
mbona unalia? umeshaona shuhuli imekua tete upande wa CCM? yani sio kuzuia maiti tu, tutazuia mpaka posho.
 
guys achaneni na upumbavu wa uhuru, spika wao na wengine wa aina yao. tanzania ya sasa inahitaji akina lema wengi sana kwa sababu watawala wamejisahau wanajiona miungu watu. watu wanauwawa na polisi hawashituki wala kuona. lema wewe ni jemedari na kamanda wa vita usikatishwe tamaa na wajinga wanaochumia tumbo. big up brother. endelea kulisongesha usikate tamaa watanzania wengi sana tuko nyuma yako.
 
nasikia kutapika jamani lol uhuru lol, sijawahi hata kulishika toka nimezaliwa i hate that news paper i feel like kuharisha
 
Lema tumemchagua wenyewe sababu ni mpambanaji. Wote mnao mlalamikia ina onyesha amewashika pabaya na sio mkazi wa Arusha
Wewe usiwe mjinga, siasa ni game na unapaswa kuwa makini kila step ila Lema hapangili mambo ya kuzungumza, kuna unayoweza kuyasema kijiweni lakini sio bungeni au kwenye mikutano ya hadhara, mengine unapaswa kutafakari hata kabla hujasema ili kuondoa mitego ya kisiasa, kwani neno moja la kisiasa lililokosewa linaweza kugharimu maisha yako yote ya kisiasa ukajikuta nje ya ulingo. Natamani Lema arekebisha style yake ili aende mbali kisiasa
 
Namjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje
Inaonekana huwa unagawa TIGO kwa NAPE,haya nenda ukachukue posho kwenye ofisi za CCM
 
Namjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje
kwa kupigiwa kura. Nafikiri nimekujibu mkuu, au kama unamuona afai basi 2015 njoo pambana nae. Alimlipua Batilda Buriani na alikua waziri
 
CCM ni malimbukeni wa kutupa,ukiona kijana anashabikia CCM ujue utotoni alinyonya mboloo ya baba yake
 
CCM ni malimbukeni wa kutupa,ukiona kijana anashabikia CCM ujue utotoni alinyonya mboloo ya baba yake
Hawa ndio wafuasi wa Lema, bahati nzuri wao ndio wameruhusiwa kutukana humu JF, matusi wayatakayo kama haya lakini hawezi kupewa BAN ata siku moja. Chadema oyeee!!
 
Namjua vizuri Lema ni pumba sana, upeo wake wa ufahamu ni mdogo sana, ni mtu wa Controversy kila wakati sijui huyo ubunge kaupataje

Ukitaka kujuwa ubunge aliupataje muulize kada wa ccm Batilda Buriani.
 
Nilidhani mtu ndiyen aliyepost hapa kumbe gazeti la gamba na magamba ywameshirikiana, napita sirudi ngo'!
 
Back
Top Bottom