Lema, Millya wasambaratisha ngome ya Ole Sendeka Simanjiro

Baada ya kushidwa kwa kula ndogo kweye kula za maoni ;uchaguzi uliopita.

Ole millya kahamia CDM. Lakini kumbuka nguvu za wazee ndio zinazo amua simanjiro.

Nakutakia mapambano mema;

SIASA NI UPEPO

Kuwa na nguvu kubwa simanjiro ndio tiketi ya kumfanya kuwa mbunge wa milele?.au.
 
Baada ya kushidwa kwa kula ndogo kweye kula za maoni ;uchaguzi uliopita.

Ole millya kahamia CDM. Lakini kumbuka nguvu za wazee ndio zinazo amua simanjiro.

Nakutakia mapambano mema;

SIASA NI UPEPO

acha unazi wewe hata arumeru mlisema hivyo ooh wazee wa washiri hawaipendi CDM matokeo yake mmeyaona,Olesendeka akishtuka kamasi lishamtoka....
 
Ole sendeka ni mnafiki mkubwa anajifanya mpambanaji wa ufisadi kumbe ana agenda ya siri na makundi yao ndani ya ccm ya kuutaka urais,,2015 ole milya mbunge na sendeka umekalia kuti kavu safari hii
 
Mwenyezi Mungu awatangulie kila Kata watakayoingia..................... abariki na mavuno kwa kuwapa hekima ex-ccm members ili wazielewe siasa za mageuzi.
 
Back
Top Bottom