Lema kupanda kizimbani pamoja na viongozi wa CHADEMA wa Arusha mjini

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema pamoja na viongozi wa chadema wa Arusha mjini na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo watapanda kizibani leo kwenye mahakama ya Arusha.

Hii ni kwasababu ya Lema kutembea kwa miguu kutoka mahakamani na kuelekea kwenye ofisi zake zilizopo maeneo ya ofisi ya mkuu wa wilaya na baadhi ya wananchi waarusha waliyokuwa wametoka kwenye kesi mbalimbali kurudi kwa miguu nao walikamatwa siku ya ijumaa na kufunguliwa mashitaka. tupo mahakamani nitawajuza kinachoendelea.
 
Polisi wamezidi uwakala, utafikiri ni green guard. Kuna haja ya kudai jeshi letu la polisi, siyo hawa green guards.
 
mbunge wa Arusha mjini Godbless lema pamoja na viongozi wa chadema wa Arusha mjini na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo watapanda kizibani leo kwenye mahakama ya Arusha. hii ni kwasababu ya Lema kutembea kwa miguu kutoka mahakamani na kuelekea kwenye ofisi zake zilizopo maeneo ya ofisi ya mkuu wa wilaya na baadhi ya wananchi waarusha waliyokuwa wametoka kwenye kesi mbalimbali kurudi kwa miguu nao walikamatwa siku ya ijumaa na kufunguliwa mashitaka. tupo mahakamani nitawajuza kinachoendelea.

Human we are full of biases, we want things to be seen the way we want them.
Naamini story yako umejaribu kuegemea upande mmoja, mbona hujaeleza vizuri kosa la Lema wanalomtuhumu? Haiwezekani akamatwe hivi hivi, lazima kuna sababu wameitaja hata kama unadhani si ya kweli basi ungeisema.
 
Siku hizi kutembea kwa miguu ni kosa!. Polisi wengi wazee wasokuwa na elimu ndo ving'ang'anizi wa vyeo kwa kuwa ni vibaraka wa magamba. Hata hivyo watafungua kesi ngapi kila baada ya muda wa kesi kuahirishwa!! Nyerere alivunja jeshi la ukoloni na kuunda jeshi la wananchi ingawaje sasa nalo linaanza kujikanganya. jeshi hili la Polisi nalo liundwe upya na jina jipya na waanzilishi(waundaji- wakuu) wapya.
 
Human we are full of biases, we want things to be seen the way we want them.
Naamini story yako umejaribu kuegemea upande mmoja, mbona hujaeleza vizuri kosa la Lema wanalomtuhumu? Haiwezekani akamatwe hivi hivi, lazima kuna sababu wameitaja hata kama unadhani si ya kweli basi ungeisema.
kwani huwajui CDM wewe?
 
kamanda soma post yangu vizuri utapata jibu. kunasehemu nimesema, hii ni kwasababu lema kutembea kwa miguu kutoka mahakamani kuelekea ofisini kwake.
 
Nchi inaongozwa na sheria kwa nini ufanye maandamano kienyeji na kundi la vibaka watu wanashindwa kufanya kazi wakihofia kuporwa na vibaka
 
kamanda soma post yangu vizuri utapata jibu. kunasehemu nimesema, hii ni kwasababu lema kutembea kwa miguu kutoka mahakamani kuelekea ofisini kwake.

Mkubwa! Tujuze yajirio na achana na hawa baadhi ya vilaza unaokutana nao humu kwani mbinu zao tunazijua.
 
Human we are full of biases, we want things to be seen the way we want them.
Naamini story yako umejaribu kuegemea upande mmoja, mbona hujaeleza vizuri kosa la Lema wanalomtuhumu? Haiwezekani akamatwe hivi hivi, lazima kuna sababu wameitaja hata kama unadhani si ya kweli basi ungeisema.

Umesoma vizuri bandiko lake?hebu rudia tena utaona kakamatwa kwa kosa gani.
 
Em waulizen hao waendesha mahakama kuwa, walitaka hao raia watembee na nin hasa! Non sense!
Hv ccm kwa nin huna Aibu, ama kwel skio la kufa haliskii dawa! ccm nchi s yenu wala hzo mahakama haziwahusu! Get away from our Hon MP, Lema!
 
kamanda soma post yangu vizuri utapata jibu. kunasehemu nimesema, hii ni kwasababu lema kutembea kwa miguu kutoka mahakamani kuelekea ofisini kwake.
Alitembea akiwa peke yake au alizungukwa na wenziwe?
Mbona unatoa mambo nusu nusu!
Kama walikuwa wengi na wanatembea kama ninavyofanya, hayo ni maandamano yasiyo na kibali, umempa afwandi Arufonsi sababu ya kukuning'niza.
 
Mi nilifikiri ni Dr.Kiiza Besigye wa Mu7 Uganda,Kumbe na Tanzania hii ina-apply?Kweli East African Community Kiboko.Tunachoshukuru Bongo ni Vita ya Arusha tu na Chuki za CCM kwa Lema,naomba wasirogwe Kumzuia Dr.Slaa eti naye asitembee ya miguu akitaka.Nadhani ndio sababu ya UDSM kuwatunuku PhD JK na Mu7,kwamba akili zao zinafanana namna wanavyowatumia Pilisi kifedhuri.Aibu yao wenyewe.
 
baada ya dakika chache nitawajuza kinachoendelea zaidi maana watu wamejaa mno hakuna muda wa kuandika kila kinachondelea
 
Na leo sijui watakamatwa tena wakitoka mahakamani......maana wengi hawana magari
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Alitembea akiwa peke yake au alizungukwa na wenziwe?
Mbona unatoa mambo nusu nusu!
Kama walikuwa wengi na wanatembea kama ninavyofanya, hayo ni maandamano yasiyo na kibali, umempa afwandi Arufonsi sababu ya kukuning'niza.

mbona tulivyotoka kwenye mechi ya simba na yanga watu walitembea kwa miguu na hawakukamatwa tena walikuwa wengi kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom