Lema for M4C, unasubiriwa kwa hamu mikoani!

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nimezungumza na watu mbalimbali na ma_analyst ukweli ni kwamba busara za lema godbless juu ya mabadiliko zinasubiriwa mikoani.Ni sawa na kumtoa panya uvunguni sasa anaelekea kusumbua nje kwako..hapa ndipo penye hekima ya magamba.
 
Hata lema asipokua bungeni, yeye akizungumza kuongea na vijana mikoa hata kumi tu effect yake nisawa na tone la kerosine kwenye pipa la maji ya kunywa. Hutayanywa tena. Huyu jamaa anashawishi mpaka maaskari wanaohuthuria mikutano yake wana jisahau wana shangilia halafu wanapotezea kujidai wanapokea simu.
 
Huwa nasikia maaskari wanagombania kupangwa kulinda mkutano wa Lema ili wakamsikilize mkombozi wao.
 
Lema akikanya pemba na unguja yote inageuka kuwa chadema.
Jamaa ana uwezo mkubwa wa kuwahamasisha watu
 
Mkuu nimecheka sana...............
Ni kweli FFU wengi wanatamani kuhonga ili wapangiwe kulinda mikutano ya Lema.
Hata lema asipokua bungeni, yeye akizungumza kuongea na vijana mikoa hata kumi tu effect yake nisawa na tone la kerosine kwenye pipa la maji ya kunywa. Hutayanywa tena. Huyu jamaa anashawishi mpaka maaskari wanaohuthuria mikutano yake wana jisahau wana shangilia halafu wanapotezea kujidai wanapokea simu.
 
Lema ni jembe la ukweli, mi naona hata zile competion za mjengwa blog juu viongozi vijana na mwaka huu tena apewe lema kwani kijana ni mwanasiasa wa aina yake kwani kawa mwiba sana kwa chama cha wezi na wachawi(ccm)
MUCH RESPECT TO HIM
LONG LIVE LEMA
 
Lema, Lema, Lema. Viva for ever. Mungu yu pamoja nawe kiongozi wa ukweli. Wao wana pesa sisi tuna watu, wao wana mahakimu na majaji sisi tuna mahakama, wao wanamajeshi sisi tuna watu. Waache watubeze maana hawajui kesho kuna nini na wamesahau pesa huwa zinaisha. Tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu
 
Lema ni zaidi ya kamanda kiukweli, na kama wazee wa magamba walidhani wamemshusha imekula kwao, mi naamini hili la kumpoka ubunge limemwinua si yeye tu bali chadema na tanzania nzima kwa ujumla. Ccm badala ya kujipanga wanaendelea kujipangua, na bado anguko lao lipo karibu saaaaaaana!
 
huyu kamanda nilimsikia pale singida stand ya zamani. Akipiga swaga.wakiwa na kamanda aliyetangulia mbele ya haki regia mtema.kweli askari walikuwa wanashangilia.wakivunga wanapokea simu.kiukweli hotuba zake zinapendwa. Na vijana kwani ni ukweli m2pu.ngoja aje huku jimboni kwangu kwa hili li jamaa linalopenda wake za makada wenziwe.aka .lameck madelu.wengine huliita mwigulu nchemba.sie tunalijua kama lameck madelu.kwani lilirudia miaka 7.yaani shule ya msing lilisoma miaka 14.ndio maana li hamnazo.kabira.natamani lema aje pale kyengege.singida.alafu tupige oporation sangara hapo kwao makunda.ili lipungukiwe na raia.kwishney.2015
 
Back
Top Bottom