Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Kamanda kwasasa anaendelea vizuri baada ya kupata drip ya pili.......
Kamanda kwasasa anaendelea vizuri baada ya kupata drip ya pili.......
Kilewo hali ya Kamanda unasema inaridhisha siyo?
watu wengine bwana..ngurati kasema kawekewa drip ya tatu we unasema ya pili. Nahisi haupo eneo la tukio
Hivi Lema hastahili kuugua kama binadamu wengine? hii mikono ya watu inatoka wapi?
Get well soon.