Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

Hivi Lema hastahili kuugua kama binadamu wengine? hii mikono ya watu inatoka wapi?
Get well soon.
 
Ngurati mimi nipo Dar lakini habari hii imenisshtua kidogo,hebu uwe frankly hali ya kamanda inaendeleaje?na je tatizo limeshakuwa-established?please nakuomba uendelee kutujuza muda wote wa usiku huu.
 
Pole mkuu M/Mungu yupo pamoja nawe hasa kipindi hiki cha ugonjwa-.......upone haraka
 
itakuwa ni uchovu tu kuongea muda mrefu tena ongea ya kutumia nguvu ka wanasiasa unafkiri ameburn calories ngapi? Na je alikula b4?
 
Get well soon. Ila asije akawa amepishana na Sabasita maana jana niliona post kuwa amerudishwa kanda ya kaskazini
 
MUNGU WANGU!

Ninakutaja MUNGU wetu maana hakika najua unaweza!
Nitakutukuza siku zote ya maisha yangu.
MUNGU! Fanya maajabu maana hakika unaweza,Naenda kinyume kabisa na hila chafu ya shetani kwani hana mamlaka hata kidogo kwa kuwa MUNGU nitakutaja sisi tukiwa watu wako.
Pepo huna mamlaka kwa watu wa MUNGU,shindwa pepo shindwa na hata ulegee.
Kama ni wewe umetumwa kutafuta walio wako hakika hapo kwa Mbunge wetu hauna mamlaka kwa jina la Mwokozi wetu YESU KIRSTO aliyehai,shindwa pepo!!!!!! Shindwa pepo!!!!

Naamuru kwa jina la YESU KIRSTO drip aliyokwisha kupata na iwe dawa ya kumnyanyua na akatende kazi ya BWANA.
Naamuru haya kwa Jina lake YESU KIRSTO BWANA WETU

Ameen!!!!

Pole MB Lema na MUNGU mwenye mamlaka atakunyanyua na utaendelea na ujenzi wa Taifa letu!
 
Kamanda utapona tu Mungu ni mwema.

Hali ikiwa mbaya usikubali Apollo wala Regency wala Lugalo(sijui jina ni sahihi).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom