Leicester City, Special Thread

Mechi ipi ya Chelsea mtani? Jana Chelsea walicheza na wakachezea kichapo.
Oh my God nimepoteza kumbukumbu kama vile nimetupia gongo, mtani ni jana bana ndiyo vijana wame nyanyua kikombe, jana siwalicheza na Evertone, mtani haya ndo madhara ya kuchukua kikombe mapema kwa points, inakufanya unapoteza ufuatiliaji... Ukishajuwa umeshinda tena ila nashukuru nkuna mdau katupia images za kunyanyua kikombe....
 
kuna jamaa aliitabiria leicester city ubingwa vp alishapewa mpunga wake? wanaojua watujuze
 
Oh my God nimepoteza kumbukumbu kama vile nimetupia gongo, mtani ni jana bana ndiyo vijana wame nyanyua kikombe, jana siwalicheza na Evertone, mtani haya ndo madhara ya kuchukua kikombe mapema kwa points, inakufanya unapoteza ufuatiliaji... Ukishajuwa umeshinda tena ila nashukuru nkuna mdau katupia images za kunyanyua kikombe....
Pole sana mtani,haya ingia studio ng'arisha jukwaa lipendeze
 
We finally here mtani, end of everything mtani, clubs nyingi zilitamani kufikia hapa ila mshindi ni mmoja,hongera zao na pia hongera kwa mashabiki pia
1462688241152.jpg
1462688375787.jpg
1462688389032.jpg
1462688410382.jpg
1462688439451.jpg
1462688447806.jpg
1462688454942.jpg
 
Tumethubutu, tumejaribu, tumeweza tena kwa bajeti ndogo kabisa pamoja na vikwazo vya kukutana na clubs kubwa kwenye EPL wenye experience katika league mbalimbali lakini tuka overcomes HAMPERS na tukafikia UBINGWA , ukiweka dhana hii katika maisha yako kwenye kupambana kutafuta maisha bora na mazuri basi hakuna lakukushinda.... DARE TO MAKE IT HAPPEN

1462689457276.jpg
 
View attachment 345569
mtani ndo Nini kutusema Timu kubwa ahhhhhh next season tutakupoteza tuna hasira
 
Hahahahahaha mtani hardworks pays off, nyie mtabaki na majina yenu makubwa ila vijana watabaki na ushindi, winning is all what matters to us my dia, vipi mna mikakati gani kwa msimu ujao mtani.... Usajili, format, new coach, new strategies...... Msipo jipanga tu tuta retain our trophy to us
 
Kante huyo anaelekea man. United tuone kama atakataa mshahara wa pound laki Moja kwa wiki kutoka alfu thelasini
 
Leicester City ijitayarishe ku-beat Chelsea's record of finishing at 10th spot after winning the league in the previous season. Bye bye Leicester City.
 
Day dream is aworse nightmare , endelea kuota mchana
 
Vipi matokeo ya leo? Mechi haijaisha?
Kuna jamaa amenidokeza Timu ya shimo (hull) imeanzisha mgodi kwa kuichimba Nguvu ya mfalme, The king power. Nithibitishie hii habari ni kweli?
 
Back
Top Bottom