Leicester City, Special Thread

Mtaani upoooooo, wapi umepotea, Ulitabiri vizuri mtani wangu, basi ntaanza kukuuliza ubashiri match za siku husika ili niweke mkeka(bet)......halafu 10% itakuhusu
Hahahhhaaa mtani wewe tu!! Aisee haiwezekani utangazwe bingwa OT, tusinyimane chakula tu siku utakayotangazwa siku hiyo tucelebrate mpaka majogooo
 
Hahahhhaaa mtani wewe tu!! Aisee haiwezekani utangazwe bingwa OT, tusinyimane chakula tu siku utakayotangazwa siku hiyo tucelebrate mpaka majogooo
Mtani leo nahisi ni siku ya kutangaza ubingwa kwenye saa nne hivi, chelsea nao hawataki mambo ya aibu leo Tottenham wanatupa ushindi kilainiii, jiandae kwa kushiriki kushangilia hahaha
 
f363ff44f3e4c60acaae5fa436e1859c.jpg
 
Ushindi wa Leicester City utaimarisha mahusiano yetu ya kidiplomasia na Uingereza, hii inatokana na ukweli kwamba imejizolea mashabiki lukuki hapa nyumbani!
 
KAMA WALIVYO PEWA A GUARD OF HONOUR NA WAO WATAWAPA WENZAO AU ITAKUWAJE?

hongerena L kwa kufaya mapindduzi.
 
Hii timu msimu ujao itapotea kama ilivyopoteaga Blackburn rovers 96
 
At last the dream comes true. Leicester city wamenyanyua kwapa jana usiku thanks 4 Eden Harzad dramatic equaliser. Haya ni mapinduzi makubwa kwenye soccer la UK.

Hongereni sana mashabiki wote mliopo Leicester kwa mkopo. Msimu ujao naiona spurs ikifanya mabadiliko mengine. Wanakikosi kizuri ila walikosa bahati.
 
Hya jamani bingwa ndo ameshapatikana hivo mliokuwa kwa mkopo Leicester city mrudi kwenye team zenu, eti mnashelekea ubingwa washabiki wa Leicester na bongo wapi wapi
 
.kichwa kilicho kwenye hiyo logo ya leicester ni cha mnyama gani...
 
Back
Top Bottom