Leicester City, Special Thread

Saa Hizi Hawana Say Msimu Huu Hali Tete Kama Mtoto Unaambiwa Ulipowesha Godoro Utalala Hapo Hapo Hadi Likauke Hakuna Kuhama Upande Mkavu!!
 
Hii wanaweza wakivunja lekodi kwa kutolewa katika League ya England uku wakicheza katika Uefa
 
Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai.
Aliwatetemesha sana wenzake akiwa na Messi.
Kwenda Germany akakuta League ya timu 1 tu. Timu inayochukua wachezaji wote wazuri wa Bundesliga.
Sasa amekuja kwenye League ambayo mshindi hajulikani mpaka mwishoni.
 
Back
Top Bottom