Leicester City, Special Thread

Kila jambo na majira yake, msimu huu leicester city haitashuka daraja, majira haya ushindani ni wa kufa kiumbe bado watashiriki ULC so tuna expect mengi injuries etc, nafasi katika top four vijana hawakosi, man united will be the dangerous team to face,
 
Hahahahahaha mtani hardworks pays off, nyie mtabaki na majina yenu makubwa ila vijana watabaki na ushindi, winning is all what matters to us my dia, vipi mna mikakati gani kwa msimu ujao mtani.... Usajili, format, new coach, new strategies...... Msipo jipanga tu tuta retain our trophy to us
Hii kauli niliandika kwa hisia sana msimu uliopita, MAN UNITED wamelifanyia kazi wamerudi na mikakati mipya, kocha mpya, wachezaji hii ndiyo we so called FOOTBALL sio vilabu vyetu kama YANGA , SIMBA , MBEYA CITY nk vilabu vya tanzania banah, angalau AZAM wanajuwa nini maana ya kurudisha na kutengeneza faida kwenye football, go go go ma United, go go go leicester city
 
Leicester city ni fundisho kubwa kwenye mapambano ya kimaisha
Ranieri alishasema hili lililotokea msimu wa 2015/ 16 hujirudia kila baada ya miaka 20-28. Msimu huu wa 2016/ 17 ni wasindikizaji tu. Wenye karamu ni West Ham, Tottenham, Timu ya Malafyale (majogoo ya msituni), Arsenal na Chelsea.
 
Back
Top Bottom